LALA SALAMA DEAR KANUMBA THE CUTE ONE"
Hivi ndivyo Successor alivyo andika kwenye wall ya Steven Kanumba Marehu leo"
marafiki wote 3647 ulionao kwa fb, leo hawana wa kustori nae, kuktania na kucheka nae..... Do u know km umeacha pengo kubwa sana??? Go braza, Rest In Peace we gon remember u all the times... Bt 4 the one having ya password aendelee kutuasist....
Flora Bahati Lyimo
MUNGU WANGU ,,NA WALIDHUBUTU KUMZIKA.YANI MIMI NAWEZA NIKAKIMBIA NA NISIRUDI ,,,,,ONA ALIVYO HAPA UTADHANI KALALA ..AMA KWELI KIFO NI KITU CHA AJABU MNO NA CHAKUSIKITISHA MNOO...KANUMBA I WISH NINGEKUFAHAM VIZURI UKIWA HAI KULIKO NAVYOKUFAHAM NOW UKIWA UMELALA KABURINI"
HIVI NI KWANINI UMATI ULE WOTEEE,ULOFIKA KUMZIKA HAUKUWA UKIMUWAKILISHA KILA PANDE ZOTE WAKATI AKIWA NA UHAI WAKE?? YANI WENGINE HATA FILM ZAKE HATUKUZIJUA ,WHY .KWA SABABU YAKUTOKUPEPERUSHIANA MATANGAZO NA KUUZA CD KAMA WANAVYO PEPERUSHA PICHA ZAKE ZA MAUTI NA KUUZA CD ZA MAISHA YAKE SASA HIVI???TUPENDANENI JAMANI WATANZANIA NA TUUNGANE ...MWENZIO AKIFANYA KITU MUUNGENI MKONO HATA KUJITAG KWENYE MAWALL YENU ....R.I.P THE CUTE ONE."
Mimi Tangu hiki kifo cha Kanumba nimeongezea yale nilokuwa na yafaham zaidi..KUWAAMBIA WATU UKWELI WAO ,WAPENDE WASIPENDE.,KUWATANGAZIA WATU VITU VYAO ,VYA BIASHARA VYA STAREHE HATA VYA AINA YOYOTE WAPENDE WASIPENDE. KWANI HIVYO NDO NJIA MOJA AU MBILI YAKUWAWEZESHA WATU HAO KUTAMBULIKANA KWA YALE WANAYO YAFANYA..HATA KAMA NI MABAYA TENA NDO MMFAHAM VIZURI ZAIDI NA KAMA NI MAZURI BASI MUENDELEE KUMFAHAM VIZURI KUPITA MAELEZO"
Cha pili Hapa Dunianai tunapita hatujui siku yetu lini wakati twawazika wenzetu wanaotutangulia" Sasa basi ishi maisha yako kama ndo mwisho wa Dunia kijacho kwako usikizuie kwa pazia"
No comments:
Post a Comment