KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 10 April 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG *PICHA NDANI YA TV ZA MAREHEMU STEVEN KANUMBA ALIPOMUOWA WEMA SEPETU" GOSH HOW LOVELY AND WISH IT WAS TODAY 10/4/2012" MISS FB a.k.a. MUKE YA AFRICAN KING HOME NA MPENZI WAKE WA MOYO TUKIANGALIA MUVI YA MAREHEMU KANUMBA" ALIPO OWA HUKU AKIZIKWA LEO 10/4/2012"


NDANI YA MY BLESSING HOME WITH MY MUPENZI THANKS GOD PASAKA YANGU ILIKUWA JUST THE WAY YOU WANT IT TO BE TO ME & HIM" MILELE NITAKUTUKUZA MUNGU WANGU NA MAMA BIKIRA MARIA" ONES AGAIN POLENI SANA WATANZANIA WENZANGU NA HASA FAMILIA YA MAREHEM STEVEN KANUMBA KWENYE TV HAPA AKIWA ANAFUNGA NDOA YAKE NA WEMA SEPETU IN MUVI "Miss FB Flora Bahati Lyimo:
Nineona niyasema haya machache Ndugu zangu Wanzania na Wadau wa "You been snap blog " Kwani nimesikitishwa sana kusikia na vile vile kusoma mablogs za watu na facebook walls eti japo wao wapo Tanzania tena Dar ,hawakutaka kwenda kumzika marehemu Steven Kanumba kwasababu hawakuwa wanamfaham au hawajawahi hata kuangalia muvi zake basi hawatakwenda kabisa na vile vile hawataki kwenda kule sababu wao ni watu fulani wamatawi fulani nakujumuika na watu wasokuwa na matawi fulani hayo wanayojiona kuwa nayo kulikoni kwao itakuwa ni vurugu na ule umati wa watu basi watakuwa hata CL zao na mawivu /wigs zao za bei mbaya zitaweza kunyofolea na kupakwa mauchafu"
Miss FB say:YANI nimeshidwa kuvumilia na nikasema ole wao ile siku watakapojiwa na kifo chao tuone vile watakavyo zikwa na hizo CL na mawivu yao ya bei mbaya na kukataa kuliwa na udongo " yani jua KIFO NI CHA KILA MTU na kinapokuja usisubirie kualikwa kwa msiba huo wewe kama vipi fika na jiunge na walofiwa pamoja na fani za mfa au WENZIO kwani huo ni upendo ambao wewe mwenyewe huwezi kuufaham bali walokuona na wa muhim kukuona kwa matendo yako au kufika kwa misiba au msiba huo wa usomfaham ni Mungu peke yake na vile vile mfa huyo..kwani mimi mwenyewe huamini kwamba mfa huyu anaona kila kitu ni vile tu hawezi tena kuongea nanyi bila ruksa ya MWENYEZI MUNGU.na ndipo pale mimi mwenyewe nasema wale wote wanaokufa na miili yao kuchomwa na familia kubakia na majivu .NI VIBAYA MNO HATA MBELE ZA MUNGU .na hata siku ya kufufuka hawatakaa wafufuke kwani wao washakuwa majivu na ndiyo maana hata enzi za mababu wa mababu zetu tulikuta watu wakizikwa na hata YESU mwenyewe walipomuuwa walimzika na ndipo akaweza kufufuka ...hebu jiulizeni je kama walimchoma angefufuka vipi ? ni haya tu kwa sasa hivi ..ila NARUDIA TENA NYIE MLOANDIKA HAMKUTAKA KUHUDHURIA MAZISHI YA STEVEN KANUMBA LEO 10/04/2012 HUKO TANZANIA kwa sababu hamkumfahamu ..na wala hamjawahi kuona muvi zake..huu ndo wakati MNGEENDA KUNUNUA HIZO MUVI ZAKE NA KUZITIZAMA NA VILE VILE HATA MKAZILETEWA KAMA ZAWADI YENU YA PASAKA KAMA NILIVYOZILETEWA NA MPENZI WANGU ..MY PASAKA ZAWADI WAS MUVI ZA STEVEN KANUMBA..Kwani hakuna anijuae kama mpenzi wangu ,anajua ninavyowazimia AFRICAN BLACK MAN" na nikamchagua yeye kuwa my AFRICAN KING " MILELE MUKE YA AFRICAN KING" NO MORE MUZUNGU HATA AWE MUZUNGU WA UKWEE...BRITISH"habari ndo hiyo R.I.P STEVEN KANUMBA" HUTOKAA USAHAULIKE KWA WASOKUWA WANAKUFAHAMU wamekufahamu leo  NA WALOKUWA WANAKUFAHAMU wamekufaham zaidi leo "
Na vile vile hamjui mlivyonabahati mliopo huku Tanzania tena Bongo KWANI SISI TULIOPO MBALI TUMESIKITISHWA SANA KWA KUHARAKISHWA KWA MAZISHI YAKE KUMZIKA HARAKA HARAKA BILA HATA KUWAPA WATU NAFASI ZA KUJA KUMZIKA MPENDWA WETU "
NA NIMELIAJE NA KUMUOMBEAJE!!
SO MLOANDIKA HIVYO NA MLOACHA KWENDA KWA SABABU HAMKUMFAHAM WALA MUVI ZAKE NAWAOMBENI MTUBU NA MUMUOMBE MUNGU MSAMAHA KWANI WEWE UKIFA HUTOJUA NANI ATAKAE KUZIKA"NA CHAAJABU NI KWAMBA INAWEZEKANA WASOKUWA WANAKUJUA NDO WATAKAO BEBA MPAKA NA SANDUKU LAKO"
TUPENDANENI ZAIDI JAMANI WATANZANIA.I LOVE YOU ALL SO MUCH HASA FROM TODAY NIKIANGALIA HIKI KIFO CHA STEVEN KANUMBA 
GOD BLESS TANZANIA AND THE WORLD AMEN : RUWA KOMANGI AIKA MBEE!!


Kutoka kwa Mdau fulani >BASI KAMA HAKUMJUA ASIANDIKE CHOCHOTE KWENYE BLOG YAKE KWA NINI ANAWASTE TIME
KUKAA NA KUANDIKA HABARI ZA MTU AMBAYE HAMFAHAMU WALA SIO MSHABIKI WAKE,KAMA
ALIVYOSEMA HAJAWAHI HATA KUONA MOVIE ZAKE,HATA ALIVYOANDIKA NI UNAFIKI MTU,YEYE
ANGEKAA KIMYA TU "

1 comment:

  1. miss fb asante sana kwa up date za msiba wa marehemu Steven Kanumba yani utadhani ulikuwa bongo na wewe,, and by the way i love to come to your partty pls put my name on" Fifie aziz and our African King!!

    ReplyDelete