KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday 7 April 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * PICHA ZA LULU NA RAY WAKIWAPAMOJA "


*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIO*

Hizi picha sijaziweka kwa ajili ya kuwajaji .ila kwa kumfaham Lulu zaidi" na nimezitoa kwa blog fulani na mwenyewe anajijua..ila nasema asante kwa kushirikiana nasi kutuwekea picha zao hapo mwanzoni !!

8 comments:

  1. kama mambo yenyewe ni kushikwa shikwa hivi basi na uselebrity siutaki. Ndo maana kaponzeka lulu.

    RIP Kanumba

    ReplyDelete
  2. Hapa ndio tunapoona kuwa huyu demu ni kuwa amekuwa anatembea na wote hawa mastaa wawili.Kuna kila aina ya sababu ya hawa mastaa wawili kutopendana kwani walikuwa wanakula sahani moja.Kwa maana hiyo hizi bifu zilizokuwa zinatokea na mashindano ya kuonyesha nani ni bingwa huenda LULU alikuwa anazisababisha kwani kila mtu anatafuta njia ya kuweza kummiliki huyu demu.Ukiangalia maojiano ya hawa wote kuhusu suala la uhusiano kila mmoja anakana lakini sio kweli huyu dada amekuwa mwenye tamaa na analala na wote wawili marehemu kanumba na bwana Ray.

    ReplyDelete
  3. MIMI NAONA NDO WAKATI WA WENGI KUTOA MFANO HAPA...KWANI WENGI NI WAONGO MNO.....NA KILA MFICHA MOTO MOSHI HUMSEMA!!! R.I.P. the cute one STEVEN KANUMBA"

    ReplyDelete
  4. we mis u kanumba

    ReplyDelete
  5. maskini kabinti chenyewe kidogo lakini kinawatikisa mababa, Lakini yote Mungu anajua mwisho wa yote haya,lazima hapa haki itoke kwa mwenyewe Mungu, Lakini binadamu haminiki hata siku moja, Mungu mpumuzishe KANUMBA kwenye uzima wa milele kule ambapo hakuna wivu wala fitina.

    ReplyDelete
  6. kazi ssns ns ndo maana kamwe bifu halikuweza kuisha, kula sahani moja si mchezo, ujue na ndo maana hawakutaka kuweka bayana hata siku moja kuhusu bifu lao lisilo na mwisho, mtihani

    ReplyDelete
  7. hayo ni mawazo yenu hapo wanachezafilm .mkiongelea picha muwe mnajua ilipigwa wapi na lini .mablog ya wabongo hayana mafunzo zaid ya kusemana

    ReplyDelete
  8. Thank you for the good writeup. It in reality was a entertainment account it.
    Glance complex to more brought agreeable from you! However,
    how could we be in contact?
    Also see my web site: Wedding Photography Yorkshire

    ReplyDelete