KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 13 May 2012

IN YOU BEEN SNAP BLOG * HAPPY MOTHERS DAY KINA MAMA OYEE" NAOMBA MSIKILIZENI WIMBO HUU WA DDC Mlimani Park Orchestra ~ Mume Wangu Jerry" NA HUKU MKISOMA MACHACHE KUWAHUSU KINA MAMA "MANENO BY : MISS FB FLORA BAHATI LYIMO" EVERYDAY IS HAPPY MOTHERS DAY TO ME" I LOVE YOU SO MUCH MAMA YANGU (AUGUSTINA BASILEI LYIMO)MWAHXOXOX!!
Sasa hebu ona huyu Mama to =be hapa (pichani)yani hapa mwanaume ushafanya mambo yako na kuyaacha kwake isitoshe waenda zako kwa wengine ukirudi akikuuliza ni kibao " hata vile mjamzito wewe wala aibu huoni nikumpiga na matusi juu tena huku ukidai aondoke na mtoto wala siyo wako " Jamani kweli huu ni unguana au ni UUME NA UUKE" =MKE NA MME" ? Mimi kusema kweli wanaume au mwanaume yoyote mwenye kumgusa mwanamke yoyote kwa njia yoyote ambayo niyakutofaa .ni mimi na wao na wakae mbali sana na mimi .na sitachoka kuwatetea kina mama"Ila basi siyo wale kina mama wazembe ,nikisema hivyo naimanisha wale kina-mama/dada ambao waume hao /wapenzi-wanafiki wao huwatese hasa pale wanapowaacha na kwenda kwenye mabaa kutafuta vimerimeta-watafutaji" Alafu badala wawalaumi hao wanaume zao ,wanawalaum Vimerimeta-watafutaji walotafutwa na wakapatikana"kwani kwangu nawaona ni wazembe,wapumbavu ,AU KAMA VIPI " WEWE MWAANGALIE MWANAMKE YOYOTE AMBAE MME WAKE NI 100%KIT*MBI T*MBI" UONE KAMA HANA KASORO HUYO MWANAMKE".na akiwa hana kasoro ya kujionyesha wazi basi kwao siyo bure wana matatizo yakutokupendana kiundugu au niseme kifamilia"ambacho kinamzuia asiweze kurudi kwao"Mwanaume hawezi kukufanyia vituko hivyo naumvumilie" tupilia kule endelea na maisha yako .na akikugusa kama upo hapa UK wewe jua sheria zipo na cha moto atakiona" kule kwetu nyumbani (Tanzania)ndo sijui tena aisee" natamani Nyerere kurudi kwani yeye alisema wafungwee watu na wanapoanza hukum yao wachapwe viboko 24" kumi na mbili wakiingia na kumi na mbili wakitoka ili wapate kwenda kuwaonyesha wake zao/au ndugu "R.I.P MWALIM "

Sasa basi nikiendelea na hii mada yangu leo kwa kina mama" NAWAOMBENI MSALI SANA ROZARI NA MZIBEBE KWENYE MABEGI YENU " KWANI HUU NDO WITO NA MESEJI NILOAMBIWA NIWAAMBIENI KINA MAMA WOTE NA MAMA YETU BIKIRA MARIA"ON 13/05/2011.NAONA SASA LEO NDO SIKU KUU YAKINA MAMA NA NITAREHE 13/5/2012" KAMA THIS TIME LAST YEAR

Kwangu leo ni sikukuu kubwa kwani ndo mwaka mmoja tangu anitokee na kweli mambo yangu yote nayo Muomba ananitendea na atazidi kunitendea maana sichoki kumuomba na sitoki bila Rozari yangu popote niendapo nipo na Rozari yangu "
Tumsifuni Bikira Maria Wakristu wote na hasa kina Mama wote"
Namalizia nikisema HAPPY MOTHERS DAY AND TO ME EVERYDAY IS A HAPPY MOTHERS DAY" Kwani Duniani bila Kina Mama siyo Dunia na kila dakika MAMA/MWANAMKE  ANAJIFUNGUA MTOTO"
GOD IS GREAT" RUWA KOTANA MBEE!!

1 comment:

 1. I believe that is one of the such a lot vital information for me.
  And i am satisfied reading your article. But want to observation on some normal
  things, The website style is perfect, the articles is truly
  excellent : D. Just right job, cheers
  My blog post ; Mobile Phone Signal Booster

  ReplyDelete