KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday 24 May 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * KUTOKA WASHINGTON DC 23/5/2012" HAFLA YA SIKU YA AFRICA YAFANA SANA NA KUDHIBITISHA UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU"




Hapa wakiwa kwenye picha ya pamoja Missy Temeke atuonyesha Ubunifu wake .nguo hiyo alovaa "(Fab Dress) keep it up my dear so proud of you "


Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar akiwasili kwenye ukumbi wa J.W Marriot Mjini DC kuhudhuria dhifa ya chakula cha usiku kusherehekea siku ya Africa tarehe 23 Mei 2012. Anayemuongoza Balozi ni flag bearer model wa Kitanzania Hamisa au Miss Temeke ambaye alibuni vazi la kitanzania mahsusi kwa shughuli hiyo.
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dkt Asha-Rose Migiro akihutubia kwenye hafla hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya J.W Marriott jijini Washington DC Marekani "
Mhe. Balozi Maajar akifuatilia salamu za Mhe. Kalonzo Musyoka, Makamu wa Rais wa Kenya alizotoa kwenye hafla hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya J.W Marriott jijini Washington DC Marekani "
Mkuu wa Utawala Ubalozini Mrs. Lily Munanka akiwa na mgeni wa Tanzania kwenye hafla hiyo Rais wa gazeti la Washington Times Bw. Thom McDevitt pamoja wakifuatilia salamu za Dkt Asha-Rose Migiro alizotoa kwenye hafla hiyo"
Meza ya Tanzania ikiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania na wageni wao, Kulia ni Brg. General Maganga, Mwambata Jeshi; Mr. Felix Ndunguru na Jesuit Temba, maafisa wawili kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii waliopo Washington DC kuhudhuria mikutano mbalimbali kuhusu uhifadhi wa masalia ya binadamu wa kale yaliyovumbuliwa Tanzania.
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Dkt Asha-Rose Migiro akiwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar"
Snap za pamoja zikiendelea ,Wamependezaje na hata nyuso zao zasema yote shughuli zilifana sana"
Snap time ,wacha snap zisema yote kwa Walimwengu"
Maafisa wa ubalozi kwenye picha za pamoja na Dkt Asha-Rose Migiro na Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar kwenye hafla hiyo ya chakua cha usiku.
Hakuna kizungumzacho ukweli kama photo's"
Mpaka chini watu wangu ,hapa Twaonyeshwa wasokuwepo tulokosa kushuhudia"
Camera bado zafanya kazi yake " na haya ndiyo matokeo ya Upendo ,Amani na Umoja"

No comments:

Post a Comment