KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday 24 May 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * SAD DEATH NEWS " FAUSTINE LYIMO ALIYEKUWA AKIJULIKANA KWA JINA MAARUFU LA MANGI WA VUNJO" AFIA GESTI " MAISHA KUJIRUSHA KUDADADEKI" SIKIZA WIMBO HUU WA GOSPEL CHAGGA + Kikuyu SONG - By MUNISHI ON GTV" HUKU UKITIZAMA PICHA ZA MWILI WAKE MAREHEMU"





Mwili wa marehemu Faustine Lyimo maarufu kwa jina la Mangi ukitolewa gesti.
Mwili wa Mangi ukiingizwa kwenye gari.
Gari lenye mwili wa Mangi likiondoka eneo la tukio.

Wananchi waliofika eneo la tukio.
Stori: Dunstan Shekidele, Morogoro
DEREVA wa daladala anayepiga ‘ruti’ zake kati ya Mgeta, Matombo Mkuyuni na Morogoro Mjini, Faustine Lymo maarufu kwa jina la Mangi, mkazi wa Mtaa wa Msikitini mjini hapa amekutwa amekufa kwenye gesti iitwayo Flamingo.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni katika gesti hiyo iliyopo jirani na klabu ya pombe za kienyeji ya Manzese ambapo Mangi alikuwa amechukua chumba kabla ya kutoka kwenda chooni ulikokutwa mwili wake.
Tukio hilo lilithibitishwa na mwenyekiti wa Mtaa wa Msikitini, Ramadhan Kuka na Msemaji wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro, Idd lbrahim huku kukiwa na maelezo kuwa Mangi alikuwa akisumbuliwa na kifua. Mwili wake ulisafirishwa kwenda kupumzishwa kijijini kwao, Vunjo mkoani Kilimanjaro.

Miss FB say: Ruwa Mangi akuambilyie necha"

1 comment: