KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 18 May 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * LOOK OF 18/5/2012 HAWA NDO THE ( 5 SPICE ) TANZANIA WOMEN'S WALOFIKA NA KUITIA VIUNGO HII CFAB 'S 53rd INTERNATIONAL SPRING FAIR AT KENSINGTON AND CHELSEA TOWN HALL.ON ITS LAST DAY 16/5/2012" MORE PHOTOS TO COME!!


Kuanzia kushoto ni Our Lady Mrs .Joyce D.Kallaghe (Spouse of the High Commissioner"

Wapili kushoto ni Mariam Kilumanga ( TAWA Tanzania Women's Association "

Tatu kushoto ni Flora Bahati Lyimo (Fashion Designer and Trader)

Nne kushoto ni Rose Kiando" Wengi wenu mnamfaham anavyotuwakilisha"

Mwisho na watanu kushoto ni Mary Machaga" Nae kwakuiwakilisha Tanzania huwa halali kabisa"

Basi hawa ndo walofika CFAB na kutaka kuiona Nchi yao Tanzania kukuwepo katika mistari hii ilonyooka ambayo ilikuwa siku hii ifike na kujionyesha jinsi walivyo na UPENDO HASA USHIRIKIANO NA NCHII HII YA UIENGEREZA "kwani wengi wao hapa walikuwa ni watu wanchi mbali mbali ambazo zina Ofisi zao kama za uhamiaji hapa Ulaya na kila alokuwepo alikuwa ana nunua vitu mbali mbali eidha vya nchi yake mwenyewe au vya nchi nyingine na vile vile kupiga picha za kila aina na kupata kuzifaham nchi za watu na watu wake "
na chochote ulichonunua au hata kiingilio kilichochajiwa siku hiii kilikuwa ni kwaajili ya kuwasaidia CFAB " kwani bila wewe kufika na kuonyesha upendo wako CFAB haitojiweza yenyewe,kwa hiyo my dears kuweni watu wenye Upendo na Umoja  zaidi kwani hata sisi wenyewe kwa kiswahili tushasema UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU "
God bless you ,God bless Tanzania and God bless the world Amen" Ruwa Mangi"

No comments:

Post a Comment