KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday 24 May 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG* LOOK OF 24/05/2012 FROM IRELAND" JOYCE KALLAGHE LOOKING FABULOUS AKIAMBATANA NA MUMEWE BALOZI PETER KALLAGHER ALIPOKWENDA KUIWASILISHA BARUA YAKE YA UTAMBULISHO NCHINI HUMO "

WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA KUANZIA (kushoto) MH.BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA PETER A.KALLAGHER ,RAIS WA IREND MICHAEL HIGGINS NA MAMA BALOZI JOYCE KALLAGHE"
"Mheshimiwa Balozi Peter A. Kallaghe jana amewasilisha rasmi barua yake ya utambulisho (Letter of Credence) kwa Mheshimiwa Rais wa Ireland Michael Higgins katika sherehe fupi iliyofanyika katika Ikulu ya nchini hiyo jijini Dublin. Pamoja na barua hiyo Balozi Kallaghe aliwasilisha rasmi salamu za Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zikimtakia Rais Higgins afya njema na furaha. Nae Rais Higgins alipokea salamu hizo kwa kusifu uhusiano wa kihistoria kati ya nchi hizi mbili"

Alimkumbuka Baba wa Taifa, Marehemu Mwalimu Julius Nyerere kama mtu shupavu aliyeijengea Tanzania misingi thabiti ya kisiasa na kiuongozi"
Aidha alikumbuka uzuri wa Tanzania na wananchi wake, alioushuhudia alipotembelea Kilosa, mkoani Morogoro miaka ya 1980. Katika shughuli hiyo Balozi Kallaghe alisindikizwa na Mkewe Joyce na Afiisa wa Ubalozi Amos Msanjila. Pamoja na kuiwakilisha Tanzania, Uingereza, (United Kingdom) Ubalozi wa Tanzania London unaiwakilisha nchi pia huko Ireland"

Tanzania ni moja ya nchi saba tu zinazopata misaada ya kimaendeleo toka Ireland, hasa kupitia taasisi yao ya Irish Aid. Nchi zingine ni Ethiopia, Lesotho, Malawi, Msumbiji, Uganda na Zambia."

2 comments:

  1. woow she look FAB miss fb nimekubaliana na wewe Joyce mama keep it up na tupe hiyo siri ya urembo huo I love the dress on you soo much"

    ReplyDelete
  2. thanks for the good news flora ,and weldone to our Balozi kwa kutuwakilisha huko Ireland"

    ReplyDelete