| Wakati wakusimama KIROYAL" Miss FB Flora Bahati Lyimo & Maina Owino Mwenyekiti wa CCM -UK" |
| Picha yetu ya pamoja " WE WISH YOU ALL THE BEST NEEMA!! |
| Khamesse mlezi wa CCM -Noth London naye alisimama na kutuambia machache huku baadhi yawalohudhuria Sherehe hizi za muondoko wakimsikiliza kwa makini" |
| Wachagga tuliwakilishaje!! |
| Poleni kwa picha hii haikutoka vyema" But hapo ni Suzana Mzee Katibu wa CCM -UK "aliyesimama na nguo ya Kijani" akimfunda Katibu muagwa wa CCM Noth London Neema Kumba" |
| Said nae alisimama imara na kusema machache!! |
CCM OYEEEEEEEEE!!! TINO (pichani ) ni Mwenyekiti wa CCM Noth London Hongera sana my dear kwani shughli ilikuwa safi na yakuridhisha japo hukutujulisha mapema" I hope next time utazingatia mipango ya watu na kutuarifu mapema zaidi tupe mwezi unatosha ili tujipange vema zaidi.but yah ,tunakupenda na unafaa!! CCM OYEEE!!!

No comments:
Post a Comment