KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 18 May 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * PATRICK MAFISANGO AAGWA NA MWILI WAKE KUSAFIRISHWA TIYARI KWA MAZIKO KWAO" R.I.P"


Mwili wa marehemu Partrick Mafisango ukiwasili viwanja vya TCC Chang'ombe mapema leo"

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa, Juma Nyoso (kushoto) na John Boko, wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mafisango kuupeleka sehemu iliyopangwa.


Jeneza likiwa na kombe la ubigwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania lililotwaliwa na Simba mwaka huu.



Mdogo wa marehemu akisaidiwa baada ya kuishiwa nguvu"


Kutoka kushoto ni msemaji wa Simba Ezekiel Kamwaga, Kocha wa Simba Milovan Cirkovic na goalkeeper wa Simba Juma Kaseja wakilia kwa uchungu"


Baadhi ya waombolezaji msibani hapo"


Mwili wa Marehemu kwa sasa uko njiani kuelekea nyumbani kwao, Kinshasa Congo ambako ndipo atakapo zikwa.

*You Been Snap Blog* kupitia Globalpublishers*
Inapenda kutoa pole kwa Club ya Simba, wapenzi wote wa michezo na familia ya marehemu.


"Picha zote kwa hisani ya Globalpublishers"


No comments:

Post a Comment