KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 20 May 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * SAD DEATH NEWS " VOODOO,VIOLENCE AND MYSTERIOUS DEATH " PATA PICHA NA SOMA MANENO YANAYOAMBATANA NA HABARI HII YAKUSIKITISHA KUTOKA KWA FLORA BAHATI LYIMO" FOR WATANZANIA KUKAA MKAO WAKUJIADHARISHA ZAIDI"

*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO*

Secret wedding: Hilary, her hair in dreadlocks, married Cleus in 2009 - she didn't tell her family she was marrying him

Secret wedding: Hilary, her hair in dreadlocks, married Cleus in 2009 - she didn't tell her family she was marrying him"
Hapa huyu jamaa anatia saini hapo angalia mdomo wake unasema yote..KUDADADEKI hapa sasa ni kula kwa uma na siyo kwa vidole tena"
Jamani hizi ndoa za kufunga kisiri siri siyo nzuri kabisa jueni kwamba kuna jambo ambalo hataki watu wafaham"
Nadhani mlisoma ile picha na habari ilopostiwa kwenye blog Moja"Dada yetu mmoja mzuri na wakuvutia wengi na raia wa Uingereza alipokwenda Tanzania nchi yake"na lugha anaielewa Kiswahili na bado kaishia kumuowa Kijana ambae (mwanaume ) kwenye macho yetu " huku alipokuja nae UK"
Mambo sijui yakawaje mpaka tukawekewa ile Picha ya yule kijana Mzuri na wakuvutiwa na wengi pia ,na maneno yale ni kwamba Kijana huyo alikuwa ni ( Shoga ) yani yeye anatembea na wanaume wenzake kwa njia ya mapenzi ,na vile vile kwamba alikuwa kaolewa siyo (kaowa ee)akiwa kule kule Tanzania" sasa kama siyo KIVOODOO" kwa wanaoamini kwani sasa hivi Dunia nzima imeanza kuamini yes kuna Voodoo'z na zinafanya kazi mbaya mno"jihadharisheni"huyo Dada mbona hakuweza kwenda kuchunguza na kufaham kwamba huyo kaka alikuwa wa aina gani na kama vipi wazazi wapambe zote mbili walikuwa wanaelewa mambo ya harusi hiyo kweli au ndo KISIRI SIRI KAMA YA HUYU MAREHEM DADA PICHANI HAPA LEO "? Ukiona mwanaume yoyote ambae hata kutambulisha kwa familia yake,kuhudhuria shughuli zako pale umealika ndugu na marafiki mbali mbali  na hata marafiki zake huku akikudanganya kwamba yeye hana marafiki,hapendi kujichanganya kwani ashawachoka Watanzania wenzake kwa maneno  na isitoshe wengine wanadanganya mpaka hata wazazi wao hawana huku hata kwenye Facebook na vyombo vingine vyote vya uchangiaji wa watu mbali mbali kuweza kuona picha au vijineno vyake yeye hukataa na kusema kwamba hapendi picha au hapendi kuonekana facebook au hata popote pale . JUA SIYO BURE HUYU ANA LAKE " na ukimchunguza sana hata mkikutana bahati mbaya kwenye shughuli ambazo kaalikwa na wewe pia kualikwa hatataka kuwa karibu na wewe au hata kutaka kuonekana anaongea na wewe na ukijichunguza utakuta huyo huyo mwanaume ndo kakulala jana au juzi au ndo unatoka nae kwa pale ambapo umejikuta ukimwaza kama mwanaume umfikiriae pengine kuolewa nae au kuwa nae katika urafiki wa kimapenzi zaidi na vile vile kusaidiana kwa mazuri na mabaya. yeye kumbe yupo kwa mtafuto wa makaratasi au hela akitaka kukujua una hela kiasi gani na atawezaje kuzipata hela hizo" MIMI nilidhani hayo yapo Tanzania tu kumbe hata Dunia nzima "" yani mimi nilishatapeliwa sana jamani tena na Watanzania wenzangu nikiwaona hivi hivi na macho yangu " na wengi wao ni mapolice ambao unawaamini kwa ngazi zile walonazo kumbe wapi ndo utajiri wao huupata kwa utapale " ila siku izi ndo yamekuwa ya wanaume dunia nzima kuzidi kwa Ut*mbi T*mbi na huku wakiwawinda wanawake wenye uwezo au walio na makaratasi kwani hata wenye makaratasi na hasa raia sasa ni dili kubwa sana kila upande duniani " hasa kupitia Facebook .yeye mtu anaku add anakuomba urafiki unamkubalia ,mara moja anakuona on line anakuja habari ,upo wapi ? una fanya nini huko wasoma au ?umekaa huko kwa muda gani ? umeolewa au ? basi wewe hapo hebu fikiria ni mazungumzo ya aina gani hayo kwa mtu hata humfaham na mmekuwa marafiki kwa dakika tano tu"
Anyway ni hayo tu ,mimi kwa kweli nabakia nikimuomba Mungu haya mambo yamalizike kwani Dunia inaelekea kubaya mno" WANAWAKE TWAFANYIANA VITU VYA AJABU ,NA WANAUME WANAWAMALIZA WANAWAKE ,SIYO KWA MAGONJWA ,MAUWAJI NA HATA KWA KUKUSABABISHIA MARADHI YA MOYO "
God bless the World Amen"Ruwa Mangi ngakuterewa mbee"
Dream home: But Hilary's house on the hill caused legal disputes with locals
Nyumba aliyoijenga marehem sasa" na kuidhulumiwa huku akiwa ameacha maisha yake mazuri huku UK na wazazi wake sasa mashakani na wakilijiwaza msichana wao ilikuwakuwaje mpaka akaishia kuuza mali zake UK na kwenda huko Nnchi za watu bila Familia yake rafiki au chochote kile kimtambuae vizuri " kweli hutakiwa kwenda shule kusemea nini cha kukomentia hapa ambacho kinasemekana kwamba ni kweli Wamemdhulum huyu Dada wa watu" Angalia sasa hayo mambwa na paka walokufa kuja kutupwa nyumbani kwake ni nini hasa?"
 "Habari kutoka kwake mwenyewe na kwa Mama yake"
She discovered that the person who sold her the land was not the only person who claimed ownership of the plot. And after completing her £120,000 home, she faced voodoo-style intimidation – with dead animals left outside her house.

Her mother, who lives with husband Barry in Dorridge, near Solihull in the West Midlands, said: 'Hilary told me there had been dead dogs and cats left in her garden as a warning.

'She said it was a form of voodoo designed to INTIMIDATE HER AND SHE WAS VERY FRIGHTENED"

In April last year, she filed for divorce on the grounds, acceptable in St Lucia, that the marriage had lasted less than five years and Cleus moved out.

But this was not the end of the relationship. According to Hilary's mother, while her daughter was away on one of her frequent foreign trips Cleus would move back into the house.

Whether it was the loneliness of a single life in a tiny, hostile community where the only shop is a dilapidated caravan selling cold drinks, or the fear of failing at a second marriage, Hilary's feelings for Cleus remained strong and she kept seeing him.

Then, last month, Hilary was readmitted to the island's general hospital. A day later she suffered a stroke and a heart attack.

Her son James, 18, and her sister Sarah, 49, flew out to be at her bedside but after two weeks in a coma she suffered respiratory failure and died on May 4.

Initially, the death was described by the police as a 'tragic accident' and due to 'natural causes' but last week The Mail on Sunday revealed that officers had changed their minds and had made it a criminal investigation.

The news that their daughter's death was being viewed as suspicious by the authorities has caused anguish to her parents.

Her father said: 'To think she still wanted to go back to that man is very painful for us to bear. The entire venture had been a nightmare.

'Hilary had always been very successful. She's always been a good provider and earned enough to send her son to boarding school, but in St Lucia she went from a position of being quite well-off to one where she was constantly having to ask for our help.

No comments:

Post a Comment