KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 26 June 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * FLORA LYIMO - FASHION POLICE OF 26/6/2012 " ANGALIA HUYU ALIVYOTUCHAFULIA " HAKUONA HATA AIBU YAKUPIGA PICHA ? UTADHANI ALIKUWA ANAKWENDA KWA MAMA NTILIE" MBUTA NANGA!!Mbuta Nanga" hapa dada Omotola kashikwa na akashikamana lets go to my Event. UMEPENDEZA KWELI" WEMA JAMANI WACHA KUMDANGANYA MWENZIO .SASA ONA ALIVYOKUAIBISHA!!
OMOTOLA wacha kujiaibisha na kutuchafulia shughuli zetu tafadhali"You should be the one to hits Tanzania KI'HOLLYWOOD WAY"

Chezea THE TANZANIAN QUEEN OF STYLE'S ( L) NI MANGE KIMAMBI (kati) WEMA SEPETU NA MIRIAM ODEMBA" Hawa ndo wanaoifanya Tanzania kuwa kama HOLLYWOOD" NA WENGINE PIA WAPO NITAWALETEA PICHA ZAO SOON !! THIS IS WHATS UP MAN.! Nakuiga nibure my dears hasa kama mpo kwenye mistari ya mashughuli"

From left MIRIAM, OMOTOLA AND MANGE"JAMANI MMENICHANGANYA SASA HAPA PICHANI NYUMA YENU NAONA MAANDISHI KAMA YA KWENYE UWANJA WA NDEGE"ARRIVAL" NDO MLIKWENDA KUMPOKEA HIVYO NA MOJA KWA MOJA MKAELEKEA SHUGHULINI ?".AU NDO KWENYE HIYO EVENT KULIREMBESHWA HIVYO" NA KAMA NDO ALIINGIA HAMKUWEZA KUMPELEKA HOTELINI ALIKOKUWA ATAKAA KUBADILISHA ,AU HAMNA ALOMUAMBIA DRESS CODE YA HII EVENT ? BUT YEYE HATA HAFAI KUAMBIWA JAMANI" ANGETAKIWA KUJUA TIYARI ,MIE NAONA KAMDHARAU WEMA WETU NA TANZANIAN  ,KUMBE KAJIAIBISHA MWENYEWE NA NAIJA YAKE"MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO FASHION POLICE:  HII NI YAKU AVOID KABISA"Kudadadeki what on earth A.K.A. Nigeria is Omotola wearing at the Premiere of Wema Sepetu Movie 2012 ? yani nikama anakwenda kula kwa mama ntilie , AU ALIDHANI TANZANIAN WE DONT KNOW HOW TO DRESS UP TO THE CLASS OF HOLLYWOOD.! Yani my dear Tanzanian this is why nasemaga kwamba tujifunzeni kuvaa na tuwe kwenye mistari ya mbele na NDIPO MPAKA NIKAAMUA KUANZISHA FLORA LYIMO FASHION POLICE .pale naona watu kwenda kwenye mashughuli za watu kuchafua ...sasa ona huyu mdada alivyo UMBUKA KWA PALE ANAPOANGALIA WATANZANIA KWENYE MASHUGHULI ENZI HIZO LABDA" Na akadhani hatujaamka ....MY DEARS MIRIAM ,MANGE AND WEMA..THANK YOU SO MUCH FOR BRINGING HOLLYWOOD TO TANZANIA" I LOVE YOU GIRLS FOR THAT BIG TIME NA NINGEKUWEPO NINGEWAZAWADIA" WELDONE AND KEEP THE MAVAAZI UP ILI NA WATANZANIA WOTE HASA WALIOPO MAJUU ..AU NISEME -ULAYA ,AMERIKA NA POPOTE PALE NNJE YA TANZANIA HOW TO DRESS " HASA KWENYE SHUGHULI ZENYE DRESS CODE: huyo Mwanamtindo wa kimataifa Omotala YANI KWA KWELI HATA HILO JINA LA MWANAMTINDO WAKIMATAIFA NA HILO LIVAAZI LAKE HAPA HALIENDANI NA LINATIA AIBU KWENYE  HII EVENT YA UZINDUZI WA MOVIE YA SUPER STAR YA WEMA SEPETU" yani kweli hakuna aloweza kumuambia asivae hivyo na nyele hebu mtizame utadhani hana hata  laki tano yakuingia salon hapo Dar nawakamtengeza nyele kama huko alikotoka hakupata nafasi ..kweli ningekuwa ni mimi yeye nisingepiga picha na mapozi yanguvu kuharibia watu GLAMOUR DRESS ZAO. This should be a red carpet event na siyo mkatikio wa ndala kwenda kwa mama ntilie"
"YOU MY NYOTA ZANGU ZA *YOU BEEN SNAP BLOG * JUST TAKE A LOOK OF THEM HAPA ALAFU ACHENI MAONI YENU .WHAT DO YOU THINK OF OMOTOLA VAAZI ALOKWENDA NALO KWENYE PREMIERE YA MOVIE YA WEMA SEPETU SUPER STAR ??"

4 comments:

 1. Hahahhahhahhahah flora nimecheka mpaka basi ,yani kweli wewe ni kiboko chao ..keep it up your blog is the best japo siingii huku sana siku izi shauri ya watoto "

  ReplyDelete
 2. ni kweli kabisa jamani kawaaibisha hata kama alikuwa kachelewa si angekuja the day kabla ya shughuli mgeni rasmi atachelewaje mpaka kukosa shughuli mbuta nanga"

  ReplyDelete
 3. Sasa ulitaka asafiri na gown.. Come on... And plus she was delayed by the yome alipofija yeye premiere ilikua ishafika... Am sure hakua anataka kwenda hivyo.. In general yeye na kuvaa hivyo kapendeza kuliko wengine waliosai kuvunja kabati on the day..

  ReplyDelete
 4. I used to be very pleased to find this net-site.I wished to thanks in your time for
  this wonderful learn!! I undoubtedly enjoying each little
  bit of it and I've you bookmarked to take a look at new stuff you weblog post.
  my web page > pure essential oils

  ReplyDelete