KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 8 May 2013

ALBUM (4) DAY TWO WAS ABOUT THE TIME FLORA LYIMO KULEWA NA KING DIAMOND 'MBUTA NANGA" KIMAPOZI ZAIDI PAMOJA NA MABATA MEUPE NDANI YA CROWNE PLAZA READING!

 DIAMOND AND FLORA LYIMO 'UKILALA LALA SALAM'KUMBATIA PICHA YANGU" HIS SO KIND AND FRIENDLY " BILA KUSAHAU KUCHAPA KAZI ZAKE KUIWAKILISHA NCHI YAKE TANZANIA'AND FLORA LYIMO FASHION POLICE 'NILIMUAMBIA YOTE' MAISHA NI YAKO DIAMOND DO WHAT YOU WANT AND NEVER DO WHAT THEY WANT" HUTOFIKA POPOTE NA HASA USICHANGANYE BIASHARA NA MAPENZI'UKIMALIZA SHOW ZAKO NA MADEMU WAKIJIRUSHA KWAKO 'WAPOKEE KWA CONDOM ZAIDI NA SIYO KWA POMBE MAANA MADEM WENGI WANAJIRUSHA KWA DIAMOND KWA SABABU YEYE NI STAR MWANAMZIKI MKALI KAMA WENGINE DUNIANI 'NA HUWA HAWAPEWI HATA SENTI MOJA 'NA WENGINE HADI WAKALALA NA DANCER WAKE WAKIZANIA NDO DIAMOND'MBUTA NANGA!! WANAWAKE WAKITANZANIA MAJUU MSIWE SO CHEAP NA KUJIAIBISHA HIVYO JAMANI'YANI MPAKA UNALALA NA WRONG STAR 'HUKU UKIJISHAUA KWA WENZIO ETI NIMELALA NAE NIME LALA NAE HADI ASUBUHI 'UNAPOKUTA SIE HIVI ULIFANYAJE...HAHAHAHAA YANI KWELI TUNACHEKA SANA NA TUTAENDELEA KUCHEKA MNO'AIBU GANI HIYO MAMA MTU MZIMA 'POLEEEE'' PIA HASA KUTEGEMEA VYA BURE 'FANYENI KAZI MJITEGEMEE 'VYA BURE SIMNAJUA MALIPO YAKE EEE"  NA DIAMOND AU MTU YOYOTE AKIWA HAJATULIA HUWEZI KUMTULIZA HATA KAMA UWE NA PENZI LA AINA GANI'ILA IPO SIKU ATAJITULIZA MWENYEWE ''NI HAYO TU KWA SASA''WACHA NIKAFANYA KAZI ZANGU MIE''SEE YOU BAADAE PEOPLE AND ENJOY PHOTOS AND DIMOND SONG'S 'MKILETEWA HAPA NA FLORA LYIMO MSEMA KWELI WENU EVER!!

 MAPOZI MNAYAONA EEEEE.CHEZEA WAFANYABIASHARA HASA ZA KUIWAKILISHA NCHI YAO ZAIDI KWENYE MATAIFA YA UGENINI" I LOVE MABATA HAYA JAMANI ,CROWNE PLAZA IN READING NI MAHALI POWA SANA HASA KI HARUSI " I  CANT WAIT TO BE BACK HERE KISAWA SAWA" MBUTA NANGA!!


 PIGA MBIZI 'FLORA LYIMO MUKE YA AFRICAN KING''MBUTA NANGA'
FLORA LYIMO FASHION POLICE'LOVE HER LOOK" NYIE JE NYOTA ZANGU"
 I LOVE HAWA WATOTO KINOMAA!! IN ALL.I LOVE KIDS NI MAPAMBO YA DUNIA KWA KWELI" IT MUST BE LOVE " ONA VILE MUNGU ALIVYO MKUBWA 'HAWA VIUMBE VYAKE WAISHIO MAJINI WAZURIJE SASA''WEUPEEEEEEEEEEEEEEEE!! FLORA LYIMO PHOTGRAPHER 'MWINGINE HAKUNAGA" I LOVE EVERYTHING I DO WITH MY HANDS AND AKILI NILIZOPEWA NA MUNGU" NAMPENDAJE MUNGU WANGU NA BIKIRA MARIA BILA KUWASAHAU NDUGU ZANGU WOTE" HASA MAMA YANGU MZAZI AUGUSTINA LYIMO' RUWA AZIDI IKUIKANIA MAE KANYI" BEUT........OF THEM ALL!!

 BEAUT KWA RANGI ZAKE!!WELCOME TO CROWNE PLAZA " WATANZANIA WALIJAA HAPA ZAIDI ON MAY DAY BANK HOLIDAY WEEKEND 05'05'2013 THANKS TO THE SINGER DIAMOND AND HIS DANCERS OF TANZANIA" PAZURIJE SASA!! CANT WAIT TO BE BACK KISAWA SAWA" MBUTA NANGA' ENJOY MAISHA YENU MY DEARS''NA MSITEGEMEE VYA BURE KABISA NA LA HUMIHU CHUNGENI MAFARIKI WANAFIKI WAPO KILA UPANDE TENA NI BORA KUWA PEKE YAKO NA IKIWA UNA FAMILIA YAKO KAA NAYO NA HIYO NDO MARAFIKI WAKO WAUKWELI'' AMINI MSIAMINI NILIYAONA MWENYEWE 'UNAKULA NAE SAHANI MOJA HATA SUM ANAKUTILIA" RUWA MANGI"

MBUTA NANGA!!! ENJOY WIMBO HUU,,NIMEUPENDAJE SASA ,YANI NYIMBO ZENYE MISTARE YA KISURE HUWA NAZIPENDA SANA HASA PALE PANAPONIHUSU""Flora Lyimo"

3 comments:

 1. Pole mwenzangu madam umeyajua basic kuna watu mpaka uwajue mwenyewe kama ulivyojua kwa sheila mbuta nanga

  ReplyDelete
 2. Flora Lyimo for Diamond Platnumz'mmependezeanaje yani weusi wako nimeupenda sana kuliko wale kina nanihii wanaojichubua wakidhani ndo kupendeza au kuishi majuu' I wish you and Diamond to be MR +MRS
  mbuta nanga'

  ReplyDelete
 3. Relax na Diamond mama naona Masuper star mmekutana''and I love your tracksuit flora lyimo fashion police ,wa ukwee...

  ReplyDelete