Flora Lyimo Fashion Police mstari wa mbele kikazi zake za photographer zaidi' was a good night kwa kweli nili enjoy kivyote vyote kwa pesa zangu' sinyemelei vya bure mie'simnajua vyabure vinamalipo yake eee' mbuta nanga!!
i love hii picha so much ..take a look in my eyes! Babe ''dont you see'' you reminding me of ...MBUTA NANGA"
IN ACTION HAKUNA KULEGEA LEGEA" THANKS BOYS WE HAD A GOOD NIGHT'THANK YOU AND HOPE TO PARTY HARD WITH NYIE AGAIN SOON "
HAPPY PEOPLE KWENYE MISTARI WA MBELE WAKIONGOZWA NA THE ONE AND ONLY FLORA LYIMO FASHION POLICE 'CEO /FOUNDER '
WATU WALIPIGIWA NYIMBO WAKARIDHIKA HASWAAA..YANI WAS A GOOD NIGHT BILA MALALAMIKO YOYOTE KUHUSU SHOW ZA DIAMOND NA DANCER'S WAKE IN FACE BAR READING" STAY BLESS ALL NA ASANTENI KWA KUFIKA NA KUMSAIDIA DIAMOND KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MATAIFA YA ULIMWENGU PAMOJA!!
No comments:
Post a Comment