KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 8 June 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * HABARI ZA KITABU KIPYA" FURAHA HUJA ASUBUHI" KIPO HEWANI NA WAHI KUKISOMA .MISS FB FLORA BAHATI LYIMO "SAY:HIVI NDIVYO VITU NAPENDA KUONA ZAIDI MAENDELEO YA WATANZANIA NA HUWA SISUBIRI MPAKA NIOMBWE KUWATANGAZIA VITU KAMA HIVI KWENYE * YOU BEEN SNAP BLOG* NAWEKA ANYTIME NINAPOKUTANA NAVYO NA NIKIWA NA MUDA!! WELDONE MY DEAR!!

*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO*

Mkurugenzi Mtendaji wa MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS Bw. Walter Bugoya akitoa neno wakati wa uzinduzi wa kitabu cha 'FURAHA HUJA ASUBUHI' (JOY COMES IN THE MORNING) kilichoandikwa na Hopolang Phororo kinachozungumzia Mateso na manyanyaso ya wasichana wadogo wakati wa malezi yao na haki ya msingi ya jinsia ya kike katika jamii.
Mmoja wa washiriki wa uzinduzi huo Bi. Chansa Kapaya akitoa neno la shukrani wakati wa uzinduzi wa kitabu cha Hopolang Phororo na haki za msingi za wanawake wanaokutwa na matatizo ya unyanyasaji wa Kijinsia Tanzania"
Mtunzi wa Kitabu cha 'JOY COMES IN THE MORNING' Bi. Hopolang Phororo akielezea simulizi ya kweli iliyomkuta kama mwathirika wa unyanyasaji wa Kijinsia wakati wa usichana wake na moyo, uvumilivu aliokuwa nao wa kuweka uzoefu huo katika maadishi ili jamii ijifunze na madhara ya unyanyasaji wa Kijinsia unaokua kwa kasi nchini Tanzania"
Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Fatma Mrisho akitoa nasaha zake wakati uzinduzi rasmi wa kitabu hicho jijini Dar es Salaam. Alisema 66% ya wanawake na 20% ya wanaume nchini wameshawahi kukutwa na majanga ya unyanyasaji wa Kijinsia katika maelzi yao ambapo kwa sasa Dar es Salaam na Mbeya zinaongoza"
Mgeni rasmi Dkt. Mrisho na Mtunzi wakionyesha Kitabu kwa wageni waalikwa na waandishi wa habari. Kitabu hiki kinapatikana katika Maduka ya MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa gharama ya shilingi 10,000/=.
Jopo la Wataalam wa Mambo ya Jinsia Tiba na Vitabu wakiwa kwenye picha ya pamoja"
Mkurugenzi wa MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS Mzee Bugoya akibadilishana
mawazo na Dkt. Mrisho pamoja na Bi. Kapaya wakati wa uzinduzi"
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi wa kitabu cha 'JOY COMES IN THE MORNING' uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment