KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 15 June 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * LEO NI BIRTHDAY YA THE ONE OF TANZANIAN QUEEN OF STYLE NA NYIMBO ZAKE USIPIME" AND MISS FB FLORA BAHATI LYIMO I LOVE TO WISH HER HAPPY BIRTHDAY NA WIMBO WAKE HUU AMBAO NI MY NUMBER ONE" ENJOY Lady Jay Dee Ft: Mr. Blue - Wangu {Official HD Video} NA KWA PAMOJA LETS WISH HER MIAKA MINGI YENYE KILA AKIHITAJICHO" ALSO SOME ALOTUHUSIA LEO 15/6/2012"Kula upate nguvu yakutuimbia vema my dear and be BLESS ALWAYS!!

Mazuri machache ya kuwahusia ni haya:

Msivunjwe mioyo na waliokwisha vunjika mioyo
Maana hawana matumaini na hawatakuwa na busara za kuwashauri.

Msikatishwe tamaa na waliokwisha kata tamaa, maana hawakumbuki nyuma na mbele wanaona giza.
Mawazo na maneno yao yatakuwa ni ya kusitisha safari yako isifikie mafanikio

RESPECT TO MY MAMA "MARTHA MBIBO"
NI zaidi ya mwanamke.

Party itakuwa Nyumbani Lounge karibuni tujumuike
Chuma hakiunguzwi na moto wa Kiberiti
Ila kinapata moto tu

MUCH LOVE
JIDE


No comments:

Post a Comment