KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 12 June 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * MATOKEO YA 2nd BIRTHDAY YA CUTE DYLAN " MUNGU AZIDI KUKUKUZIA MWANAO SALHA KIPENZI !!

MAMA NA MWANA ..HAPPY 2nd"BIRTHDAY DYLAN AND HONGERA SALHA KIPENZI MWANAO MUNGU AZIDI KUKUKUZIA .MISS YOU AND LOVE YOU ALWAYS !! How ROMANTIC YOU ARE MY WHATS UP MAN!! LOVE YOU CUTE DYLAN MWAHXX
 HAPA DYLAN KAPENDA NINI ZAIDI ..KISU OF COURSE!! muone anavyokichekelea"
WOOOW,WHATS A SMILE !! SIJAWAHI MUONA DYLAN AKIWA KACHEKA HIVI " BLESS YOU MAN!!

Hiii CAKE DU..ninomaaaa!!! MAMA D" Mwanao si mchezo!!

Bora nijiimbie mwenyewe mwamchelewesha nani!!!
HAPPY BIRTHDAY TO ME,HAPPY BIRTHDAY TO ME" HAPPY BIRTHDAY TO ME DYLAN 'HAPPY BIRTHDAY TO ME!!!

BOSS aka BIRTHDAY BOY KASHIBA CAKE YAKE.katulia tuliiii!!! HATAKI MANENO NA MTU"

FULL HOUSE.Ila nani kanifinyia huyo mtoto mwenye Red na Pink hapo katikati " wewe kijana mwenye Blue shirt wamfinya kwa nyuma ee!!

MAMA NA MWANA SI MCHEZO .ILA OLE WAKO UCHEKE HAPO " UTAFINYWAJE NA MISS KIFINYO " ONA ALIVYOJIANDAA NA MKONO WAKE  HAPO "MBUTA NANGA" HAHAHHA!! MISS YOU MY DEARS"LOVELY BIRTHDAY BOY NA MAMA ZAKE!!


Hapa Miss Kifinyo ni nomaa,,ulomfinya mpaka ukapoteza kiatu walahi tena hatokaa acheke maishani mwake.hahhaha""

Job done hongereni my dears naona mambo yalikuwa mazuri mno" Now I cant wait for the NEXT ONE"

No comments:

Post a Comment