KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 10 June 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * MATOKEO YA JUBILEE BABY SHOWER YA VICKY ILOFANYIKIA NYUMBANI KWAKE LONDON 0N 9/06/2012 ( album 1) DRESS CODE WAS PINK ,BLUE,RED AND WHITE" WAPAMBAJI Miss Louisa Sheila Frisch ( Make-up and hairdo" Miss FB Flora Bahati Lyimo " (Accossories and Decoractions) MWAZIONAJE KAZI ZETU KWA MAMA TO BE " KATA MGOMBA PATA NDIZI HASWAA" MORE PICHA TO COME!!

MAMA TO BE VICKY .KAPENDEZAJE!!! WE LOVE YOU SO MUCH AND WE ALL WISHING YOU ALL THE BEST !! REMEMBER GOD IS THERE WITH YOU VICKY !!

BOX LA ZAWADI ZA MAMA TO BE" limetengenezwa kwa mikono na Flora Bahati Lyimo "THE DESIGNER"

Wool decorations By Flora Lyimo "Designer"Maisha naamini is about new things" wahi kuipamba shuguli yako hasa harusini kwa kuwapeperushia Maharusi hao au kupamba nyumbani kwako kuifanya ipendeze na kunukia kwa RANGI ZAKO " kwa yana  marashi yasokwisha harufu yake kwa muda mrefu "
"Ukihitaji tel: 07787471024" Hapa wakipeana mikono " si mchezo meipenda kazi ya Camera ya Miss FB"
Pichani hapa ni Proud  of her job kwa kumpamba Mama to be,Nywele kamuweka yeye mwenye na bila kusahau Make-up" Mwaionaje kazi yake aloifanya Shila"   Mgeni wa mwisho kutoa zawadi .alifika kuchelewa shauri ya job" NA ASIKUDANGANYE MTU NI BORA KUFIKA KUCHELEWA KULIKO KUTOFIKA KABISA!!
Nice to be your FRIEND" FOR SURE DA -Dativa" thank you so much for coming "
Job ya zawadi za bahasha imekamilika na kwa kweli ndugu marafiki na marafiki wa wamarafiki walijitokeza kwa wingi na bila kuonyesha haya ya kuamka vitini na kuja kuwakisha UPENDO WAO NA MAPENZI YAO KWA MTANZANIA MWENZAO NA VILE VILE KULIKUWA NA WENZETU WA NNCHI NYINGINE YANI SHUGHULI YOTE ILIKUWA YA MCHANGANYIKO WA KILA KITU" Siyo vyakula ,mavaazi hata watu ,MBUTA NANGA!!! This is how life should be" LOVE & SUPPORT "Be bless Always my deears!!

No comments:

Post a Comment