I LOVE THIS SONG SO MUCH MY WAJINA" GOD BLESS YOU BOTH ALWAYS"
My love and I, on my birthday! Tulikuwa tumeishalala saa sita usiku, tukaamshwa na surprised birthday cake kutoka kwa sister wa ukweli sis P.
— with happy birthday at Our USA home."
|
Miss FB Flora Bahati Lyimo" say:
" HAPPY BIRTHDAY WAJINA WANGU "
"Yani nimefurahi sana kuona jinsi mnavyoishi maisha yenu " YA NDOA kwa kweli sidhani kama kuna yoyote Tanzania hata Ulimwenguni nae mzimia kama wewe na Familia yako. Mungu azidi kuwabariki na mzidi kutuletea nyimbo nyingi na zuri kama hizi mlishawahi kututangulishia .kwani zinafudnisha mengi kwa wale wanaopenda kujifunza!! Love you and i cant wait the day tutakayo onana hope very soon" mwahxx"
Happy Birthday Flo,Mungu azidi kuwabariki ktk ndoa yenu...
ReplyDeleteJacque V.