KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 3 July 2012

* YOU BEEN SNAP BLOG * YOUR BLOG YA MAUKWELI YAWALETEENI MAUKWELI YOTE YALOKUWEPO NDANI YA EVENT YA DA'REGINA BRIDAL SHOWER ILOFUNGA MWEZI WA SITA 30/6/2012 "MPAMBA UKUMBI NA MPIGA PICHA NI DA'LAURA BANDUKA!!

HAPA NDO PENYEWE.PALIANDALIWA KWA AJILI YA KUJIFRESH KWA MAKE-UP YAKO AU KUANZA MOJA KWA MOJA IKIWA ULIJISAHAU KUJIPODOA. YANI KWELI DADA RAYA AWAPE NINI TENA KWA BRIDAL SHOWER YAKE" FULL KUWAJALI WAGENI WAKE,SI KWA MISOSI VINYWAJI ,NGUO HADI VIPODOZI" KWELI TOP IN TOWN HII ILIKUWA"HAPA NDO WAKARIBSHWA  MWANAMKE JICHO BILA KUSAHAU ACCESSORIES  CHEZEA THE PICHA MBUTA NANGA"


FRESH FRESH YA FRESH ...NIMEPENDA UBUNIFU WA UKWELI"


NDO DRESS CODE YA NGUVU COLOUR BLOCKING"

MSOSI WA NGUVU NAUTAMANIJE SASA KWELI HII KAZI YA KUBLOG SI MCHEZO!!

MAZAWADI YA NGUVU NDO HAYO NA HARUSI BADO"

POLE KIPENZI I KNOW YOU MISS ME THERE SO MUCH ...ILA YAH SIKU YETU IPO YAJAA" CANT WAIT!!

SASA HAPA KAMA ULIKUJA NA KANGUO CHAKO AMBACHO HAKIENDANI NA SHUGHULI UNAPEWA NGUO KAMA HIYO HAPO" SI MCHEZO !!
Mwenyekiti hataki mchezo hapa saa ya msosi ..yani hivi yale pale ni Machalari ,,kweli nilipitwa wish ninjejipasua vipande vipande niwe huku na kule au popote.Mbuta Nanga" HONGERENI SANA WAPENZI "

No comments:

Post a Comment