KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 25 September 2012

*IN FLORA LYIMO BLOG* FLORA FASHIONME IS OUT NOW" WAHI KABLA HAZIJAISHA MAANA NI MDOGO MDOGO ILA MAKUBWA YAJA SOON" GOD IS GREAT KANIWEZESHA KUTIMIZA NDOTO MOJAWAPO NILONAYO MOYONI KIMCHORO ZAIDI" NATAFUTA MA MODEL KAMA UTAWEZA NITAFUTE 07787471024" ASANTENI NA KARIBUNI SANA NA WALE MPO BONGO TULIENI MAZURI KUTOKA KWA FLORA FASHIONME DESIGN BY :FLORA LYIMO -FASHION POLICE YAJAA!!

 Hapa kuna kiscarf cheusi shingoni ambacho pia kinakuja kwa rangi nyingi na zote ni ubunifu wa Flora Lyimo" yani najiamini na nitafika ninakotaka kufika bora nisikate tamaa hata nikatishwe tamaa vipi..ee Mola nilinde siku zote Amen"
 Hili lina Ki bow kifuani na yote ni shingo ya debe"yenye kufungia nyuma" picha zitakusimulia zaidi"


 Shingo ya debe Dress na Flora Fashionme"


Ndo mambo ya Love and big support"
Yani namshukuru Mungu sana na watu nisowafaha kwa kikabila au nini lakini wapo tayari kufanya kazi na mimi na kutaka kuniona nimesimama Imara na kujihesabia kwenye kundi la wabunifu maarafu Duniani" I love Fashion and Fashion love me.na Im so so Proud of my Mama kwani yeye ndo alianza kunifundisha kusuka kofia na sweta kwa mikono tangia nikiwa na miaka saba" I love you so Much Mama and I cant wait to see you For sure"God is Great " Kuorye cha Ruwapfo"
Basi my dears Watanzania wenzangu kama mwakumbuka nilikuwa nimeweka tangazo kwamba natafuta msaidizi wakunisaidia Market" Well" wengi wenu mlikaa kimya hakuna alojitokeza japo nawafaham wachache waso na kazi na hata pesa za bure hawapati maana Makaratasi hawana" and kwa sababu ya midomo yao walijionea haya maana walichangia kunisema na kunitukana na sasa WANAJIKOROSHOJE" jueni kwamba Riziki yatoka kwa Mungu na siyo kwa kiumbe yoyote" Na ningependa sana kufanya kazi na Watanzania ila ndo hivyo tena ,,but I know ni wale waliopo hapa UK peke yake wale waliopo Home najua nitafanya nao kazi nzuri mno siku moja " yani IM PROUD TO SAY" subirini mpaka mjionee wenyewe na nitawaanikieni kila kitu hadharani " Ila kwa sasa nina wafanyakazi Wamataifa mengine ,na anaye nishoneshea hizo nguo zangu baada yakumpa my own Design Michora si mwengine ni my AZONTOOO!! yani hawa watu hawafanyi mzaha wakijua wanapata hela" chezea wao"
Kazi kwenu my dears Nyota zangu za Flora Lyimo Blog & Fashion Police" nipeni maoni yenu pls,,na oda pia "
MWAZIONAJE NGUO ZA FLORA FASHIONME"Ruwa Mangi !! FLFP" LOVE YOU ALWAYS!!

3 comments:

 1. Mmmh, kila mwenye blog kawa designer.

  ReplyDelete
 2. WEWE ulosema eti mbona nimeandika tangazo la HAND-MAIDE BY FLORA LYIMO kwa mikono ....na kuniita mshamba...SIJAIWEKA COMMENT YAKO KWASABABU YA ULOWATAJA HUMO...NA NADHANI WEWE NDO MSHAMBA USOKAZI ...HATA HUJUI NINI MAANA YA HANDMADE(maana yake hapa) Handmade is objects have been made by SOMEONE USING THEIR HANDS OR USING TOOLS RATHER THAN BY MACHINES" UPOO HAPO"....so mshamba ni nani sasa......LETS ME ELEWESHA WEWE....HAPO PICHANI UKITAZAMA VIZURI NI MAMBO YA HAND-KNIT ...THE WORK OF MY HANDS..na ndo maana nikaweka kila kitu kwa mikono ..NA SUBIRI MAZURI KUTOKA KWA FLORA FASHIONME...haujayaona.....na MUNGU YUPO NDO MNIPA RIZIKI ZANGU" UPOOO!!!!

  ReplyDelete
 3. ma dear flora keep it up na achana na longolongo za watu wasio na kazi ila kuchonga sana tu....mungu aibariki kazi ya mikono yako dear.

  f.gullam

  ReplyDelete