Toto zuri toto weweeeeeee.totooooooozuriiiiiii"
Maisha ni kujipenda na unapojipenda hata kama kuna asokupenda haijalishi maana unajipenda na Mungu anakupenda ndiyo maana upo hapa Duniani na unaishi upendavyo na siyo HETER'S wapendavyo" tena faham hapo hapo ipo siku Mungu atakupa mpenzi wako ambaye atakupenda na kukujali kwa kila jambo na bila kusikiliza mtu au kitu chochote" kumbekeni Dunia Mungu kaumba wawili wawili " na siyo makundi makundi" so sahau makundi makundi na zingatia wawili wawili" God Bless you all Nyota zangu za *Flora Lyimo Blog*
maisha kujipenda mama ur right dear. wanasonjaje wakikuona umependeza hivyo....wahakikishe umewasikia tu hahahaaaa
ReplyDeleteNYOTA YA FLORA LYIMO BLOG*OF 13:41 umeona eee...yani Maisha kujipendaa" na wasonye niwasikie..hahhahahaa....WASONYE BASI AU WANANIOGOPAA...WAKISONYA TU" WATAKIONA WASIPOSONYA!! WANANIOGOPAA" MBUTA NANGA!!!
ReplyDelete