KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 3 September 2012

*IN FLORA LYIMO BLOG* MATOKEO YA SALHA'S BIRTHDAY DINNER AT O2 LONDON 02-09-2012" NDO MAMBO YA KATA MGOMBA PATA NDIZI!!

From (left ) Birthday Girl Salha and the one and only Flora Lyimo Fashion Police" From (left)the birthday Girl  Flora and Naila !! Tulikulaje uwii yani hadi kuvimbiwaaa!!Ruwa Mangi" HAHAHhahhaaa..CHOKOLETIII " aka CHAKILETIII!!!
NDO MWENYEWE HUYOO..THE ONE AND ONLY UNIQUE PEARL" aka LULU CLARA"

WAREMBO OF ALL THE TIME!! Misosi ya Nguvu jamani ilikuwa hatariiii..full kula bila kupimiwa ni nomaaaaaaaaaa!!!


8 comments:

 1. Chakiletiii lol

  ReplyDelete
 2. HAHAHAHAAA.UMEONA EEE....MWALIM HAFANYI MTIHANI MAANA YEYE NDO KAUANDIKA""" Mbuta Nanga" CHAKILETII....MNACHEKAJE SASA.........!!

  ReplyDelete
 3. hahahahahaha chakiletiiii, yaaani nimecheka sana , maana mdomo ulikua vile vile hahahahahahahaha, thanks mamii

  ReplyDelete
 4. HAHHAHAAAAA.UMEONA EE..YOUR WELCOME KIPENZI WAS A FAB NIGHT .STAY BLESS ALWAYS"

  ReplyDelete
 5. jamani mmependeza sana kina mama , mungu awabariki na muendelee kupendeza, yani kama hamjazaa. mmependeza.

  ReplyDelete
 6. Mmmmmh kuna mmoja kamisss hapo bi Esha Yuko wapi. Nice pic wapendwa

  ReplyDelete
 7. Fashion Police ndani ya o2 again ,,you rock my girl ,yani flora lyimo wewe nikiboko na ulivyo na moyo wa huruma ni mungu atakulipia maana ikiwa umemsamehe lulu clara basi hata jestina msamehe tu..ila nakumbuka ushamsamehe akarudi kukutenda tena ..so mtupilie kuli mbali kabisa kwa kweli nakuaminiaaaaaaaa.....hapana chezea wewe mbuta nangaaaaaaaaaaa!!

  ReplyDelete
 8. katika blog yote hizi picha ndio zimerembaaa warembooo,

  ReplyDelete