KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 7 September 2012

*IN FLORA LYIMO BLOG* OUT & IN LONDON BLACK CAB" THE TANZANIAN -LONDON BLACK CAB LOVER.FLORA LYIMO THE FASHION POLICE,TRADE AND DESIGNER" THE BEST WAY TO TRAVEL AND TO BE SAFE !!

 Showing off her New Trade"ndo mambo ya nguo mpya kwa bei ya mtumba" I want watu kuvaa na siyo kuvaliwa"
"FLORA LYIMO FASHION POLICE"


 Ndani ya Black Cab " dereva wa hiyo Black Cab alikuwa ananichekeshaje sasa" yani tangu nilipomuambia anipeleke Moshi na kushangazwa Moshi ni wapi?eti nipe post code"hahaa" alikuwa ananisumbua sana kutaka kujua Moshi ni wapi na anataka kwenda kuupanda Mlima Kilimanjaro yani kanogewaje kumjua anaetoka Kilimanjaro"Ruwa Mangi" so nimempa namba za Shemeji yangu akampandishe kwani yeye ni meneja wa kundi lake la kupandisha wazungu Mlimani"Mbuta Nanga" Jamani hiki kijacket nimekilove ile mbaya" nawe kiwahi kabla havijaisha maana oda nilizopokea huko Facebook ni balaa"" Moshi nzima  itavaa Flora Lyimo Trade Xmas hiki mpaka wanizawadie MAPARACHICHI" hahaa"

 Pensi Nyanya lenyewe ndo hilo yani I cant wait kulivaa..jamani mwakumbuka yalivyoingia Dar"

 Mguu wa Mchaga Ulaya ndo huooo..aka Muke ya AFRICAN KING" Chezea hapana kapisaa ndao"
 MGUUUUUUUUU......YANI UTAJUA FLORA LYIMO NDO HUYOO..THE FASHION POLICE NA BLACK CAB YAKE""

 Sasa hawa M.A.C wanabidi wanilipe maana hii Guuu ya Kichaga ina garama kubwa sana ya kuwatangazia Spring Summer yao ya 2013.ni wangapi wenu mmeitazama hii " haya wacha niwapeni idadi mwisho wa mwezi huu" hahaaa..LOVE YOU NYOTA ZANGU ZA *FLORA LYIMO BLOG*Be Bless Always"
Jamani hizi nguo zina itwa ZIMA JOTO" yani zilivyo na utulivu na kiubaridi cha chini ya mti wakati wa jua kali  ni nomaa" na nazani wengi wenu mnakumbuka hivi VIPENSI NYANYA" kama una picha ya ezi zile nitumie at flo1974@btinternet.com 
Asanteni na karibuni nyote kuvaa Flora Lyimo Trade"

1 comment:

  1. hhahhahaaa unavituko wewe Mchagga''sasa na hizo nguo a.k.a. pensinyanya ulidesign mwenyewe au 'hili jina limenikumbusha utotoni mwangu kinoma''

    ReplyDelete