KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 18 November 2012

"GONE TOO SOON "MWENGINE TENA JAMANI HATUNAE JOSEPH (MADIA) MBAGO" R.I.P""

 

"The late Joseph Mbago"
Ama kweli jamani maisha ni mafupi mno tena hayachagui mkubwa au mdogo siku wala saa" Tukaeni mkao wakuwa tayari kuitika kwani hautaijua siku yako ambayo utaitwa na kuitika bila kusita"Tupendaneni na kuacha Upendo nyuma yetu,Yani mimi tangu kifo cha Fred Mtoi ,Nimesali na kumuomba Mungu anisamehe kwa kila kosa nilisha wahi kumtendea au kumtendea mtu yoyote" na ninaimani hata YOYOTE NISHAWAHI KUMKOSEA ATANISAMEHE" MWAKA 2013 NAJIANDAA KWA KILA JIPYA JEMA NA KILA KITU NA KILA MTU" PLEASE FORGIVE ME & FORGIVE KILA ALISHAWAHI KUKUKOSEA KAMA NILIVYOKUSAMEHE PIA"
R.I.P. Nyote mnao tutangulia mpumzike kwa AMANI"

1 comment:

  1. mungu amlaze mahali pemapeponi,

    ReplyDelete