CAKE YAONEKANA TAMUUU!!!NAITAMANIJE"
BUSY MAMA MAPACHA,KAZI KWELI KWELI" HONGERA SANA MTU WANGU"
THIS IS SO LOVELY ...MAPACHA WAKILISHANA CAKE YAO""

Yani habari ni kwamba ,nakumbuka siku nilipokuwa rafiki in Facebook na Mama Mapacha (Cecilia) nae si muda mrefu alijifungua wanae hawa Mapacha ambao mwaka huu wamefikisha miaka minne ,ambayo hata mimi na mama yao tumefikisha miaka minne ya urafiki wetu mwema wa Facebook !! Mungu atuzidishie miaka mingi tuweze kusherekea pamoja hata kwa picha na maneno hivi tukijua kila mmoja wetu anaona au kusoma is the best thing ever to have with FACEBOOK FRIENDS!! Kuliko pale unakuta watu wakitukanana na kuvunjiana heshima zisizo na msingi " MAISHA NI KUPENDANA NA KUISHI KWA AMANI KIUBINADAM NA SIYO KIUNYAMA "" BLESS YOU WATU WANGU NA MUNGU AZIDI KUILINDENI FAMILIA YENU MILELE!!
MUCH LOVE:FLORA LYIMO Your Fashion Police"
If some one desires to be updated with most up-to-date technologies after that he must be go to see this web site and be
ReplyDeleteup to date all the time.
My website :: payday loans
Hi! I've been reading your website for a long time now and finally got the bravery to go ahead and give you a shout out from Porter Tx! Just wanted to say keep up the excellent work!
ReplyDeleteHere is my homepage : Trouble Getting Pregnant