KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 2 November 2012

*IN FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG* BIRTHDAY PARTY YA MAPACHA WA CECILIA .A.LYENGI ILINOGAJE" AND HAPPY BIRTHDAY TO YOU LEO O2/11/2012 MAMA MZAA CUTE MAPACHA'S !!

 MAMA NA BABA WA CUTE MAPACHAS!!

 CAKE YAONEKANA TAMUUU!!!NAITAMANIJE"

 BUSY MAMA MAPACHA,KAZI KWELI KWELI" HONGERA SANA MTU WANGU"
 THIS IS SO LOVELY ...MAPACHA WAKILISHANA CAKE YAO""




Happy 4 YEARS Birthday CUTE MAPACHA'S  AND YOU MAMA MAPACHA ,au sijui nisema HAPPY OUR 4 YEARS BIRTHDAY !!
Yani habari ni kwamba ,nakumbuka siku nilipokuwa rafiki in Facebook  na Mama Mapacha (Cecilia) nae si muda mrefu alijifungua wanae hawa Mapacha ambao mwaka huu wamefikisha miaka minne ,ambayo hata mimi na mama yao tumefikisha miaka minne ya urafiki wetu mwema wa Facebook !! Mungu atuzidishie miaka mingi tuweze kusherekea pamoja hata kwa picha na maneno hivi tukijua kila mmoja wetu anaona au kusoma is the best thing ever to have  with FACEBOOK FRIENDS!! Kuliko pale unakuta watu wakitukanana na kuvunjiana heshima zisizo na msingi " MAISHA NI KUPENDANA NA KUISHI KWA AMANI KIUBINADAM NA SIYO KIUNYAMA "" BLESS YOU WATU WANGU NA MUNGU AZIDI KUILINDENI FAMILIA YENU MILELE!!
MUCH LOVE:FLORA LYIMO Your Fashion Police"

2 comments:

  1. If some one desires to be updated with most up-to-date technologies after that he must be go to see this web site and be
    up to date all the time.
    My website :: payday loans

    ReplyDelete
  2. Hi! I've been reading your website for a long time now and finally got the bravery to go ahead and give you a shout out from Porter Tx! Just wanted to say keep up the excellent work!
    Here is my homepage : Trouble Getting Pregnant

    ReplyDelete