KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 21 November 2012

*MAELEZO ZAIDI YA MSIBA WA MAREHEM FRED MTOI" NASIKITIKA SANA KUSIKIA HAKUWA NA NDUGU HAPA ULAYA.ILA NAPINGA HILI ,,SISI WOTE WATANZANIA HASA TULIOPO KWENYE HIZI NCHI ZA WATU ,TUNDUGU NA TUISHINI KAMA TUMEZALIWA NA MAMA NA BABA MMOJA" TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA TOENI CHOCHOTE MLICHONACHO NA KUJIWEKA MKAO WAKUMUAGA NDUGU YETU FRED .AKAPUMZIKE KWA AMANI NYUMBANI TANZANIA" UWIII KILIOO KUDADADEKI KIFO UNATAKA HOW MUCH MONEY ILI UWARUDISHE WALE WOTEE WALOKUFA!!

 


Kufuatia kifo cha ndugu yetu, Fred Alex Mtoi, kilichotokea ghafla siku ya Ijumaa, 16 Nov 2012, London, mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es salaam Tanzania kwa mizishi inafanyika.

Tunaowomba ndugu na jamaa kusaidia kwa michango yenu ya hali na mali ili tuweze kufanikisha kuupeleka mwili wa marehemu nyumbani.

Michango iwekwe kwenye
ACC Number :10299068
SC:30-93-29
LLOYDS TSB BANK
Israel Saria.

Taratibu zote za kuupa heshima za mwisho mwili wa ndugu rafiki yetu mpendwa Fred zitatolewa hapo baadae kupitia blog hii na nyinginezo mara baada ya taratibu za kurelease mwili kukamilika.


'Kwa maelezo zaidi wasiliana na
 
Saria 07791284317 au William 07404531448.'
'KWA NIABA YA JUMUIYA YA WATANZANIA - UK na NORTHAMPTON'

No comments:

Post a Comment