Idhaa ya Kiswahili ya BBC London
inawaarifu wapenzi wa BBC, ndugu, jamaa
na marafiki hasa walioko Uingereza kuwa, ibada ya kumuaga mtangazaji wake Fred
Mtoi aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Jumamosi tarehe 17 Novemba 2012 itakuwa
Jumamosi tarehe Mosi Disemba 2012.
Ibada hiyo itafanyika katika Kanisa la
St. Anne's Lutheran mjini London kuanzia saa tano kamili asubuhi.
Anwani ya Kanisa
ni: St Anne's Lutheran Church, Gresham Street, London, EC2V
Safari ya
kuupeleka mwili wa marehemu Dar es salaam nchini Tanzania itakuwa Jumatatu
tarehe 3 Disemba 2012 jioni kwa ndege ya Shirika la British Airways.
Mwili
unatarajiwa kuwasili Dar es Salaam Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere Jumanne saa moja asubuhi.
Mipango ya Ibada
na mazishi nchini Tanzania inafanyika nyumbani kwa wazazi wake Tabata Maduka
Manne jijini Dar es salaam. Ibada ya kumuaga Fred itafanyika katika kanisa la
Lutheran Tabata Kuu saa saba mchana siku ya Jumatano tarehe 5 Disemba 2012.
Maziko yatafanyika katika makaburi ya Kinondoni Dar es salaam saa tisa alasiri.
Fred alianza kazi ya utangazaji
Radio Tanzania kabla ya kuja Ulaya kwa masomo. Amekuwa akifanya kazi huku
akiendelea na masomo ya shahada ya pili ya Uzamili kuhusu ‘Digital Media’
katika chuo kikuu kimoja cha London.
Alishiriki katika vipindi muhimu na
vilivyopata sifa hasa vya sanaa, utamaduni na jamii kutokana na kuwafahamu
wakaazi wengi wa London hasa wenye asili ya Afrika Mashariki.
Alishiriki piya katika matangazo ya
kawaida ya habari ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC.
Wenzake katika Idhaa ya Kiswahili ya BBC wanamkumbuka Fred
kuwa mtu mwema, mpole, mchangamfu na aliyepatana na wote. Alikuwa mtangazaji mtulivu
na akishikilia kazi alihakikisha anaimaliza vema.
Alishiriki katika vipindi muhimu na
vilivyopata sifa hasa vya sanaa, utamaduni na jamii kutokana na kuwafahamu
wakaazi wengi wa London hasa wenye asili ya Afrika Mashariki.
Fred atakumbukwa kwa umahiri wake
katika matangazo ya kawaida ya habari ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC.
Shukran za dhati
kwa Shirika la BBC kwa kushughulikia na kugharamia mipango yote ya kuusafirisha
mwili wa marehemu Fred hadi Tanzania.
Pia shukran kwa
wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha mipango ya yote
kuhusu msiba huu.
Imetolewa na:
Imetolewa na:
Zawadi Machibya
Mratibu wa
Mazishi
Idhaa ya
Kiswahili ya BBC
London
Kwa maelezo zaidi piga simu
Greetings from Carolina! I'm bored to death at work so I decided to check out your site on my iphone during lunch break. I love the info you provide here and can't wait to take a look when
ReplyDeleteI get home. I'm amazed at how quick your blog loaded on my cell phone .. I'm not even using WIFI, just 3G
.. Anyways, wonderful blog!
My page ... binary trading options
What's up, just wanted to tell you, I enjoyed this article. It was practical. Keep on posting!
ReplyDeleteHere is my website; galaxy s3
Feel free to surf my webpage ;
Hi, I do believe this is a great website. I stumbledupon
ReplyDeleteit ;) I'm going to revisit yet again since i have saved as a favorite it. Money and freedom is the best way to change, may you be rich and continue to help other people.
Also see my web site: link building glasgow