MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Thursday, 17 January 2013
Shikamoo Dada Flora.a.k.a. Fashion Police ,dada ulikuwa wapi tumekumisi sana ila naona ulikuwa kwenu uchagani kuhesabiwa.Hebu turushie hizi picha kwenye blog yako huyu Lulu Clara mtoko wake wa December 2012 at Milton Keynes " Unauonaje kama Flora Lyimo Fashion Police wa Ukwe.asante dada nakuamini na karibu sana London tunakuhitaji kinoma"
Mr & Mrs..Mwanamke kujiamini!!
Lulu (kulia)mwenye Sidiria Nyekundu kwa wale msomfaham"
Shikamoo Dada Flora.a.k.a. Fashion Police ,dada ulikuwa wapi tumekumisi sana ila naona ulikuwa kwenu Moshi Vijijini uchagani kuhesabiwa.Hebu turushie hizi picha kwenye blog yako huyu Lulu Clara mtoko wake wa December 2012 at Milton Keynes " Unauonaje kama Flora Lyimo Fashion Police wa Ukwe.asante dada nakuamini na karibu sana London tunakuhitaji kinoma"
FLFP:Say.Asante sana Nyota ya Flora Lyimo Fashion Police" Sijui nisemeje ama kweli nilipitwa ,ILa KWA MTIZAMO WA LULU ,MIE NAPENDA KUMPONGEZA KWA NENO MOJA TU..MWANAMKE KUJIAMINI.NA KAJIAMINIJE SASA NA HIYO TOP" ANYWAY ..SINA MUDA WAKUANDIKA MENGI KWA LEO " MAANA BADO NAUCHOVU NA KILA KITU KINANISUBIRIA HAPA NAMIZIGO YAKURUSHA BONGO INASUBIRIWA " BUT YAH ENDELEENI KUNIRUSHIA NILIYOYAMISI NAMI NITAJITAHIDI KUWARUSHIENI KWENYE HII BLOG YENU YA MAUKWE...
WhatsAPP +44 7787471024 Flora Lyimo Fashion Police"
Founder"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Miss FB welcome back London tulikumisi bwana..And I love that you went to your home village and not in town kama wengine wanaotoka majuu wanakwenda kupiga picha na magari na nyumba za watu Mijini na kwao hata hawafikii even kusalimia Jamaa zao vijijini..eti watoto wa mujini NYOOOOKONYOOKO ZAO..BIG UP Miss FB.mtu kwao hata kukiwa kuchafu au hakujajengwa yale manyumba ya Mabloku uloyataja kwenye TIMEPHOTO'S Zako za holiday in Tanzania 2012/13.Bless you Yani nimecheka sana na NIKAKUPENDA ZAIDI ..pale uliposema eti ulikuwa hujui hata Godoro ni nini na sasa unalalia magodoro mawili in one bed".hahahahaahhahha.Mbuta Nanga" Hongera sana kwa kujenga kwenu Mtoto wa kike kama wewe hakunagaa"
ReplyDeleteCCM UK..Kidum Chama Cha Mapinduzi ..AND God Bless Tanzania na watu wake, nashukuru sana na kweli Mungu ni Mwema nimeenda Home salama na kurudi SALAMA KABISA ..na nashukuru Mungu pia nimewakuteni NYOTA ZA FLORA LYIMO FASHION POLICE Blog,Well and SOUND!! me love nyie sana na Tuzidishini Upendo na Umoja..MTU KWAO NA WANAWAKE/KINADADA..JENGENI KWENU JENGEENI KAKA ZENU ILI WASIJE WAKAWA WEZI,MATAPELI ,MAJAMBAZI NA WABAKAJI" Kama vipi MIMI NA WEWE KAMA MWANAMKE TUTAOLEWA...WAO NDO WAKUOWA NA MWANAUME BILA NYUMBA ATAOWAJE..??..Ruwa Mangi"
ReplyDeleteLove her see-throughtop, anyone know where its from? looks like a zara or reiss Toz..
ReplyDelete