- 5 people like this.
- Dickman Maneno NO ONE IS PERFECT....UNAJUA NINI BRO MI BINAFSI SINA WIFE WALA MCHUMBA WA KUMLINDA ILA KWA WALIOOA LAZIMA WIVU UCHUKUE NAFASI...SO MY ADVICE 2U JUST BLOCK HUYO WIFE WAKE KWANI NI MMOJA KATI YA MARAFIKI MILLIONS ULIONAO...LIIIIIIV HER ALON UNAWEZA UMPE MTU UMAARUFU TU.TAKE IT INTO UR MIND BRO,MUCH LOVE@W.J.M....LEMUTUZ
- William J. Malecela BRO YOTE HAYO NIMEYAFANYA LAKINI JAMAA HASIKII WAO WANAISHI NEW YORK, MIMI NAISHI BONGO SASA TATIZO LA NINI? SIKU MOJA NIMEWAPIGIA SIM WOTE WAWILI LAKINI HAIKUSAIDIA, MAY BE THIS WILL HELP!!
- William J. Malecela SAWA SAWA LAKINI SIO KURUKIA MARAFIKI WA MKEO KAMA HUTAKI AWE NA MARAFIKI SI UNAMZUIA NA KAMA ANAKUPENDA ATAKUSIKIA, KAMA HAKUSIKII THEN SOMETHING IS VERY WRONG!!
- Esther Charles Hajiamnini huyo kaka kama angekuwa na uhakika na maisha yake kwa mkewe angetulia au angetaka kujua kupitia kwa mkewe na si kwako.
- Happyness Josephs Mi nadhani the guy alifaa kudeal na mkewe na sio wewe bro.. Anajidhalilisha mwenyewe... kuna wivu yes, but ni busara zaidi to deal with yo spouse na kusolve mambo yenu rather than kudeal na watu wengine ambao pengine hata hawahusiki...
- Dickman Maneno SIMPLY KIRANJA IS PERFECT LKN TATIZO LAKE INAELEKEA NI MGUMU WA KUELEWA KM UMEMCALL MORE TIMES THEN NO RESPONCE NI BORA UACHANE NAE KWANI KUPUNGUZA MAADUI NI BORA ZAIDI KLK KUPOTEZA MUDA KWA MAMBO YASIYO NA MCHANGO WA KIMASLAHI KIMAISHA....FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE...AU UNASEMAJE BRO@W.J.M....LEMUTUZ
- Reuben Sunday Mimi Ushauri Wangu Kwako Bro! Wanaume tumetofautiana,Kuwa mbali tu na Wake za watu, Maana huyo ametoa Matusi wapo wengine hawaongei wanafanya vitendo tu hawaangalii who you are au unafanya kazi gani,So Take care bro we differ!
- Hoja Lugalila namsuport kwani yeye ndo anamfahamu mke wake, ni wajibu wake kufikiria juu ya ustawi na hatima ya familia yake, labda tu wanadamu wengi tunatabia ya kutokukubali ukweli. ushamkwaza na bado unazidi kumdharirisha, hapo umekiuka misingi yote ya upendo. mi sijakubaliana na chochote ulichokisema japo niko tayari kulinda haki yako ya msingi ya kusema
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Thursday, 17 January 2013
WILLIAM J.MALECELA.a.k.a. LE MUTUZ AMLIPUKIA MME WA MTU ,ANAYE LINDA MKE WAKE " KWA KUDAI MKE WAKE NI MY SUPER FRIENDS.? JE UNAWEZA KUWA RAFIKI NA MWANAUME HUKU UKIWA UMEOLEWA NA MWANAUME HUYO NI SINGLE ? HAVE YOUR SAY!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WERA WERA ..I KNEW THIS WAS COMING ..tazizo la lemutuz ni kuwaparamia mabebis hajui hata wengine wameolewa au la' na hata hawaulizi je ni vema kukuita my mbabe wa ukweli au la' you know what is it like to call mke wa mtu your super baby ??? na pengine huyo mme hajawahi hatakumuita mkewe his super babe..so lazima huyu Jamaa ata Mind " even me ninge mind kichizi aisee ..DONT CALL MY WIFE YOUR SUPER BABES.mara ni super friend wako mbabe wako wa ukwe,,Never Brow" Stay away from mababes usowajua""
ReplyDeleteHaiwezekani ,pls Lemutuz stay away na mababes wa watu wa ukwee..next time mme wa mtu hatakuambia neno bali vitendo Brow" why dont you look for mbabe wako..afu out of topic..TUNASIKIA WEWE NA FLORA LYIMO FASHION POLICE NI MABABES WA UKWEE ALIPOKUWA DAR and Jestina George pia kabla hajaolewa mke watatu ...mbuta nanga"
ReplyDeleteAnonymous of 20:18. MNASIKIA WAPI ????AND Flora Lyimo Fashion Police is only one in the world,so I take it huyo ni mimi then...Haya mambo yakusikia vitu msivyo na uhakika navyo jamani viacheni ,hebu niambie alokuambia...and if kuonekana na mtu pamoja ndo kuwa Mbabes wake wa ukwee...niwangapi wamepiga picha nae au wameonekana nae ?so wote ndo mababes wake wa ukwee,,JAMANI NIACHENI MIE NIPO SINGLE NA SITAKI MANENO NA WANAUME NA MTAKA MWANAUME WANGU MBEBA WANGU PEKE YANGU....RUWA MANGI" SIMOOOO!!
ReplyDeleteMmmh! nae kazidi kwakweli! anachukua picha za watu na kuanza kuwaita mabebes wa ukwee! na wala hawaulizi! pia wewe umerudi bongo juzi how wote wawe mabebs wako? huyo anataka watu wamfanyie kitu mbaya asipoacha ujinga na utoto wake! jitu kuubwa hovyooo! nalidharau balaa!mala ooh mjipange! eti ndo angekuwa mbunge huyo lol! ajipange kwakweli!
ReplyDeleteHuo uraiki unaonekana ulipitiliza mpaka jamaa akaingiwa na wasiwasi haiwezekani hafla tu akutukane kisa uanajuana na mkewe labda visimu haviishi kwa mke wa mtu msgs na kadhalika hata ningekuwa mimi nisingependelea huo mchezo hakuna ukaribu wa mwanamke na mwanamme kama sio kaka yako au dada yako,mtaanza urafiki mtaishia mapenzi.Ushauri tu achana na wake za watuna kumuanika hivi sidhani kama ni busara itazidisha chuki kati yenu
ReplyDeleteMbona Hata Sielewi Huyu Jamaa Nashindwa Kumwelewa Kama Huyu Jamaa Siyo Msukule Sijui
ReplyDelete