KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 17 January 2013

HII NI KWA WALE WANAWAKE WENYE WANAUME ZAO WAFANYAKAZI KAMA TAXI DRIVER'S HASA IN TANZANIA..YANI MSIPOCHUNGA UTAPATWA NA MAUGONJWA YA MOYO BUREE!!!

MTANZANIA KAMILI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO,FLORA LYIMO FASHION POLICE"
EEE MUNGU WASAIDIE HAWA WANAWAKE WAMEPOTEA NJIA,,,,,KUDADADEKI ,IKIWA WEWE MME WAKO /MPENZI WAKO NI TAXI (hasa in Tanzania) JIPANGE KWA UGONJWA WA MOYO IKIWA UTAINGIA KWENYE SIM ZAKE USIKU USIKU...ETI HUYO JINGA MKE,ANANIPIGIA SIM ,,,triiiiiiiiiiii,triiiii,,,HELLOOO...YAH..hebu niambie ulikuwa wafanya nini na mme wangu ?? I WAS LIKE...WHAT ??MME WAKO YUPI ?? DULLAH ">>>DULLAH??? YAH ..ANAKAA WAPI... ?? DONT MIND ANA KAA WAPI NI MME WANGU ,KAA MBALI NA MME WANGU "" I WAS LIKE,,OKOK,,TELL ME<<<DULLAH WA WAPI MAANA SIJAKUELEWA KABISA PENGINE NI WRONG NAMBA...hapana siyo Wrong namba umemtumia msg aje akuchukue Rau Madukani ,I was like,ok ok,,so Dullah Taxi Driver??okok,,yah ,,you know what kabla huja ARISHA HAKIKISHA UMEFIKA CHOONI ,,,MSHENZI WEWE UMENIAMSHA USINGIZINI WAJUA HUYO MME WAKO ANAKULISHA KWA PESA ZANGU AU ZETU SISI TUNAOMLIPA KWA KUTUPELEKA TUNAKOTAKA KAMA TAXI DRIVER...UNIKOME TENA WEWE KAMA UNATAKA KUNIJUA NJOO NAE MWAAMBIE AKULETE KESHO SAWA..KUDADADEKI..anyway people habari hi itaendelea kwa your blog ya mamipasho ya ukwe..FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG. hivyo ndivyo vituko vya bongo yetuuuuu....MBUTA NANGA....
FLFL.WhatsApp +44 7787471024
Founder.

1 comment:

  1. Heyy da flora nimeipenda sana blog yako na nimevutiwa na hii story ya mke wa tax driver mie nilikutana na mke wa driver wa bajaj bibi alikujaje juu akijua namchukulia mumewe kumbe mie nahitaji usafiri mweee...ve a nice day

    ReplyDelete