KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 14 February 2013

HAWA NI BAADHI YA WALIOJITOKEZA KWENYE SHOW YA TUNDAMAN VALENTINE'S TOUR NDANI YA PIT STOP LONDON "Moto una waka sasa eee,na wenye macho hawaambiwi ona!!
maumivu yakizidi vaa miwani' MBUTA NANGA"Shostito nikama kawa yake ,mwanamke kujiamini" yani mambo ndo kama haya moto moto" 


MASHABIKI WAKIJIACHIA KWA NAFASI ZAO "


 
ENJOY WIMBO WA TUNDA MAN UZURI WAKE"..

Msanii wa Bongo Movie Meckyladiva akionyesha support yake.
FROM LEFT NAJU ,RAHMA,SHENAZ NA JESTINA GEORGE
Wakiwa kwenye show. Hi ilikuwa ni Tundaman Valentine's day tour 14/02/2012 ambayo mwaka huu hakieleweki kama atakuja tena London "je ulikuwepo siku hii ,rusha picha zako kama kawa yangu utaziona hapa hapa kwenye hii blog yenu ya ukwee na inayowaleteeni vitu vya ukweli mtupu"
TUMENI PICHA ZENU ZA KUMBUKUMBU MLONAZO ZA VALENTINE'S DAY YA MWAKA JANA AU HATA MIAKA ILOPITA NA ELEZEA KAHABARI CHAKO CHAKUENDANA NA PICHA KIDOGO" Email: flo1974@btinternet.com

No comments:

Post a Comment