KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 13 February 2013

HII NI KWA YULE ANAE WASOMEA WATU VITU NILIVYO ANDIKA KWA FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG" TAFADHALI HAKIKISHA NA HII UMEWASOMEA WATANZANIA WOTE POPOTE PALE WALIPO NA HASA WAHUSIKA ULOONA INA WAHUU" I LOVE YOU AND WELDONE!!!


HARD TALK ~~ UNAJUA KATIKA HII DUNIA KUNA WATU WAOGA NA WATU WASO WAOGA.. NA MIMI NIPO KATIKA KUNDI LA WASIO WAOGA TENA MSEMA KWELI NA MTAKA MAENDELEO DUNIANI NA HASA TANZANIA" NA KAMA WEWE NI MFANYABISHARA AU MFANYAKAZI/MWAAJIRIWA ~~ ZINGATIENI MTEJA KWANZA..CUSTOMER FIRST & CUSTOMER CARE " HAKUNA CHA KUSEMA HUYU NI MJOMBA AU SHANGAZI" NA HII NI KWA WOTE DUNIANI SIYO KUJICHOMOA KWENYE HIZO CARE NA KUSEMA SIE NI WATANZANIA KWA HIYO HATUZIFANYI/HATULALAMIKI TUNAPOFANYIWA MAKOSA? NA WANAO FANYA HIVYO NDO WALE WASIO NA KAZI NA WAZEMBE,WASOTAKA MAENDELEO " SO DONT SUPPORT UJINGA" NA KUUPALILIA ,NGO'ENI NA KUTUPILIA MBALI" RUWA MANGI!!!

No comments:

Post a Comment