Cheka cheka kwani ndo ufunguo wa furaha Pacha wetu"
Eti kuna pale watu wanasema mtoto akikukojolea ni bahati hivi ni kweli "" mmm..yani wacha hiyo bahati inipitee,,uwii hebu fikiria anikojelee hapo itanishukiaje! mbuta nanga"
Wimbo gani tena unachezwa hivyo Miss FLFP"" Dimpoz au " I sink" mbuta nanga"
MR & MRS Matonda ndo hao Nyumbani kwao raha jamani raha wanajipa wenyewe " mtajikoroshoje sasa wale wakuja bila virago vyenu !!
Si mwingine Flora Lyimo Fashion Police Top in town ,akipita mrushieni pesa na siyo mashikamoo ya makelele!! Ruwa Mangi"
Hapa anatafuta kulia ili abebwe alafu anasingizia kofia yangu .hahaha" Poleee "
Ndo siee tumetokelezaje sasa ..yani ndo mpango wa Home kwetu nje kwao"
Busu mie maana ndo nilitangulia kufika " au niseme kutoka " Mbuta Nanga,mwatamani busu la mapacha ee"
JIBURUDISHE NA ALI KIBA Our one and only The King of Bongo Zao Mbuta Nanga! |
No comments:
Post a Comment