KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 29 March 2013

FLORA LYIMO FOOD DIARY:MY IJUMAA KUU DINNER AT MY BLESSING HOME 29/03/2013: USILE NYAMA SIKU YA IJUMAA KUU 'WALA SIKU ILIYOKATAZWA!!

 Hapa ndo nimezichanganya Peas na nazi yani I just cant wait kula''hadi nataka nile kabla hakijaivaa"Yani kweli nimejaribu mnaojua kupika huu msosi msinicheke" Next one utakuwa kama wa kwako Muke ya Joseph Matonda" Upoo eee"

 Viazi badala ya nyama leo Good Friday 29.03.2013 'hakuna kula nyama" Mbuta Nanga!!
 Tiyari kwenda kuliwa najilambaje kabla hata sijatia mdomoni" I love huu msosi jamani ,thanks to my Pretty Wifi Vicky" kwa kunifundisha how to cook it' Mwanamke Mapishi eti ee"
 Namalizaje chote yani hapa hakuna hata kwenda mezani leo nikulia on my lap"kwani meza nayo imekuwa busy kinoma" hebu itazame hapo chini Pichani"

Kazi kweli kweli yani hapa kwenye hii meza ndo mambo yote ya kupanga na kutuma bila kusahau mahesabu "whats going out and whats coming in" Ruwa Mangi"

2 comments:

  1. Mwanamke nyumba na mapishi kwa kweli ,Flora atakae kuowa mbona atafaidi kulikoni,hivi kwanini hujaolewa wala kuwa na watoto mpaka sasa Flora when you are so good in household"just asking mama"

    ReplyDelete
  2. Flora Lyimo Fashion Police wetu wakwanza Tanzania na wa Pili in the world na wa maukweli upo wapi??,nimekutumia photos za harusi ya juzi ya Bongo celebrites,yani ni proper mchemsho..kazione utupe maukweli yako na usiwaogopee mamii..mbuta nanga"

    ReplyDelete