KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 24 March 2013

HIZI TABIA NI SO UGLY " NDUGU ZANGU WATANZANIA WENYE HIZI TABIA ACHENI" YANI MIMI NIKUNIAMBIA NEWS ZA MICHANGO TUUU,MTU TUNAONGEA KILA MARA LAKINI GOOD NEWS KAMA PARTYS ,MIMBA'S YANI MTU UNA MIMBA MPAKA UNAZAA NDO UNAONA PICHA FACEBOOK" NA AKIWA NA MICHANGO HATA SIYO YAKE ANAKUAMBIA? MBUTA NANGA!!


HARD TALK~~~ JAMANI HIVI SIYO UBINADAM" KWANINI HUWA TUNAAMBIANA MAMBO YA MICHANGO MICHANGO PEKE YAKE NA MICHANGO HATA ISOMUHUSU 'ANAKUAMBIA''ALAFU MAMBO MENGINE KAMA GOOD NEWS ..KUZAA,KUWA NA MIMBA PALE ISHAFIKIA HATA MIEZI SADA?? KUUMWA UPO HOSP? MPAKA UNASIKIA KAFARIKI NA HUKU UMETOKA KUONGEA NAE AU UNAWASILIANAGA KWA MICHANGO YAKE"(SO SAD) ALSO KUFANYA PARTYS NDOGO NDOGO" NA NYINGINE NYINGI..?? YANI NI MICHANGOOOO TUUU..NDO UNAAMBIWA ,NA HUKU HATA UKITANGAZA YA KWAKO WANAJIFANYA KAMA HAWAJAONA NA TENA HATA FACEBOOK HAWAJAINGIA AU WANAINGIA KWA SIMU KWA HIYO HAWAONI VIZURI ,THE ONLY THING HUWEZI ONA KWA SIM VIZURI NI PICHA NA SIYO SIM ZOTE INATEGEMEA NA SIM YAKO ''(KIPICHA'S) KWA HIYO WACHENI KUFANYA WENGINE NI WATOTO WAMEZALIWA LEO AU JANA" .MBUTA NANGA..JAMANI HATA MUNGU HAPENDI HIZO NI TABIA MBAYA" KAMA HUMIAMBII MTU VITU VYOTE VINAVYO HUSU VISIVYOFICHIKA KAMA MOTO NA MOSHI NA VINGINE UNAMFICHA BASI JUA NA MOSHI HAUFICHIKI..MOTO UNAPOWAKA LAZIMA MOSHI UPO"..RUWA MANGI..KWELI SIPENDIIIIIIIIII.NINA VIMIND SANA VIJITABIA HIVI NI VYA UNAFIKI"
TUPENDANENI JAMANI NA CHUKI WACHENI NA MAMBO YAKUSEMANA KIBARAZANI KWENYE MITANDAO ACHENI MWAAMBIENI MWENYEWE AJUE ILI APATE KUJIREKEBISHA " THANKS ALL NA MUNGU AWABARIKI SANA" RUWA MANGI" Flora Lyimo" 

1 comment:

  1. Hahahahahaa wape wape Flora yani huwa unanipa raha sana sanaaa na maukweli yako..ila ni kweli kabisa watu kwa michango wapo....na watakusumbuaje na miss calls'

    ReplyDelete