KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 15 April 2013

DOING IT FOR THE CHARITY" ENJOY HUU WIMBO AND YOUR MONDAY 15/04/2013 "BY:FLORA LYIMO CEO /FOUNDER OF HOUSE OF FLORA"

 JAPO HAKUJA BADO SAA ZA KUAMKA..FLORA LYIMO 'SIDHANI HATA KAMA NALALAGA SIKU IZI'KWANI NINAPENDA SANA KUFANYA KAZI ZANGU ZA KNIT&CROCHET 'HATA KUTOKA HUWA SITAMANI TENA KABISA" NIKIKAA ON MY SOFA KNITTING OR CROCHET NA HUKU NASIKILIZA KAWIMBO KANGU KALONIJIA ON THE DAY'NI BASI HATA UNIAMBIE KUNA MOTO HUM NDANI SIDHANI KAMA NITATOKA'MBUTA  NANGA!! ENJOY  HUU WIMBO AND WHAT YOUR DOING WITH YOUR LIFE "
 FLORA LYIMO THE DESIGN AKIFANYA KAZI ZA MIKONO YAKE" DOING IT FOR THE CHARITY" WANT ANYTHING MADE FOR YOU JUST WHATSAPP OR CAL: +44 (0) 7787471024. THANK YOU" AIKA SANA NDAO KANYI!!
 THE FRONT'MBELE!!
 KIDS WEAR .KNIT BY:FLORA LYIMO.DOING IT FOR THE CHARITY"
OH''BEFORE YOU GO" PLEASE DONATE WHAT YOU CAN OR BUY ONE OF MY KNIT &CROCHET PRODUCT ANYTHING THAT I DESIGN AND THE FOUND WILL ALL GO TO FLORA LYIMO STOP RAPE AND RAP CHARITY" DONATE TO LIoyds TSB ACCOUNT:14590768 CODE:30-65-41 IF YOU WANT TO BUY ,EMAIL flo1974@btinternet.com OR WHATSAPP +44 (0) 7787471024 'THEN WE WILL SEND YOUR PRODUCT TO YOU FREE POST ANYWHERE YOU ARE"
THANK YOU"                 ABOUT THE CHARITY"
HII CHARITY NI KWA AJILI YA KUWASAIDIA WALE KINA MAMA/DADA WANAOJIUZA OVYO "KUPATA AJIRI ,WALE WALIOBAKWA KUPATA MAHALI PA KWENDA NA PAKUWEZA KUSAIDIWA KWA HUDUMA ZA KWANZA NA VILE VILE KUSAIDIANA NA POLICE KUWEZA KUANGAMIZA WANAOWABAKA NA KUHAKIKISHA WAMEPEWA ADHABU YAO INAYOWASTAHILI" NA MWISHO KABISA KUWEZA KUJENGA CLINIC YA KINA MAMA/DADA WANAPOKUWA NA MIMBA HADI KUJIFUNGUA ILI KUWEZA KUPATA MAELEZO BORA (RECEIVE MEDICAL ADVICE) NA KUWEZA KUJIFUNGULIA MAHALI PASAFI NA PENYE HUDUMA BORA" ILI KUEPUSHA VIFO VINAVYOTOKEA MARA KWA MARA TANZANIA AMBAPO MAMA HUPOTEZA MAISHA YAKE AU WOTE MAMA NA MTOTO KUPOTEZA MAISHA YAO KWA PALE WANAPOKOSA VITUO BORA VYAKUWEZA KUWASAIDIA NA KUWAFUNDISHA VEMA" NA AMINI PAMOJA TUKISHIRIKIANA TUTAFIKA NA KUONA HAYA YOTE NILIYOYATAJA HAPA YAKIWEPO TANZANIA KWA UMOJA WETU" GOD BLESS YOU AND GOD BLESS THE WORLD" AMEN"

3 comments:

 1. If some one wants to be updated with newest technologies then he must be pay a
  quick visit this website and be up to date everyday.  Feel free to surf to my web site Louis Vuitton Bags

  ReplyDelete
 2. Hongera sana flora unapendwa na wengi na wewe ni mfano wa kuigwa mwanzo nirikuwa sikuerewagi lakini now nakuelewa ukotofauti sana na wa Tz wahuko kwenu wengi walala hoi hawafikiri chochote zaidi ya kuuza sembe na kuwanga hongera zako

  ReplyDelete
 3. Anonymous of 00:42.
  ASANTE SANA KWA KUONA HILO FROM ME MY DEAR..PAMOJA SANA NA KARIBU TENA KUNITEMBELEA HAPA KWENYE HII BLOG YENU YA MAUKWELI NA MAPICHA MOTO MOTO PAMOJA NA FASHION POLICE ZA LUGHA TATU.MBUTA NANGA" NA KUACHA MAONI YAKO YA UKWELI PIA..BE BLESS ALWAYS " Flora Lyimo"

  ReplyDelete