KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 22 April 2013

FLORA LYIMO ~HIVI NDIVYO NINAVYOMFAHAM PETER LAZARUS NILIPOKUTANA NAE KWA MARA YA PILI' PAMOJA NA MPENZI WAKE ENZI ZAKUWAFAHAM JESTINA AT MY HOUSE ' NAJUA WENGI MNAOMFAHAM KARIBIA UK -LONDON NZIMA TUMELIA SANA PAMOJA KWENYE SIM KWA WALE TULIOPIGIANA SIM KWA HIZI SAD NEWS!!

 WAKIWA AT MY HOUSE NA MPENZI WAKE WAKATI HUO'JESTINA"
 FLORA LYIMO NA PETER 'YANI HE IS ONE OF THE BEST WATANZANIA LONDON AMBAO NILIWAFAHAM MWAKA 2009" WAKATI NIMEANZA KUJICHANGANYA NA WABONGO LONDON "
 WALIKUWA WAGENI WANGU RASMI ON THE DAY.SO NILIWAPIKIA CHAKULA CHAO WALICHOPENDA NIWAPIKIE,MACHALARI YA FLORA LYIMO 'MNANIJUA KWA MACHALARI YANGU NA UPENDO WANGU YANI SINATOFAUTI NA PETER 'HAPA NALIA KWA UCHUNGU MNO.ILA NAJIKAZA MAANA PETER KANILILIA SANA KUHUSU MAPENZI YAKE KUPOROMOKA" NA NILIKUWA TAYARI KUMSAIDIA PALE NINGEWEZA" OMG'NALIAJE PETER LAZARUS"

 SO CARING "


 YANI HATA MAZUNGUMZO YA HII SIM NAYAKUMBUKA UTAZANI NI LEO..TULICHEKA SANA.NA LEO HATUNAE..KWELI NAUMWA SANA "ILA NAJIKAZA DOING IT FOR YOU PETER "ULINIPIGIA SIM KUNILILIA KWA MAPENZI YAKO NA HUKUNIPIGIA SIM KUNILILIA KWASABABU UNAUMWA UGONJWA UNAOSEMEKANA UMEKUUWA"WATU WANASAHAU WAKATI UNA SHIDA MAWAZO MENGI UNAKUWA SO HEARTBROKEN HATA KAHOMA KANACHANGIA NAKUKUUWA' ITS JUST SO SAD,'WHY ULINICHAGUA MIE KUNIELEZEA SHIDA ZAKO NI KWASABABU MIMI NI MKWELI NA NAONGEAGA UKWELI MTUPU 'AND USHANIAMBIAGA MARA NYINGI HOW YOU LIKE ME KWA KUWA MKWELI NA MWENYE ROHO NZURI NA HASA YA KUSAIDIA KAMA YEYE MWENYEWE'(HE SAID )
MACHALARI KWA MAPISHI YA FLORA LYIMO LONDON'
 AT MY HOUSE ,MEZA NILOWAANDALIA WAGENI WANGU  ENZI ZAO JESTINA NA PETER CHAKULA CHA JIONI '
 SIDHANI KAMA KUNA AMBAE HAKULIA AU HATA SASA HIVI HAMLILIE UK-LONDON NZIMA'PETER NI MTU WETU NA TULIMPENDA ILA NOW.MUNGU KATUZIDI NA KUMPENDA ZAIDI" NA KILA MMOJA ANAVILE ATAKAVYO MKUMBUKA PETER ,BASI NA MUANDIKE YENU ,HAYA NI YANGU NA NINAUMWA KWELI 'NIKIWAANDIKIENI HAPA MSIDHANI NINAFURAHA "

 KWA KWELI LONDON NZIMA NI MAJONZIIIIIIIIII...PETER KUMBUKA TUPO KWA AJILI YAKO 'KUKUKUMBUKA ALWAYS"
JUST SISI WATATU  YANI SIJUI NIWAAMBIENI NINI 'JAMANI NILIWAPENDA SANA HAWA WATANZANIA WENZANGU NA KUWAAMINI KULIKONI 'BUT NDO HIVYO TENA PETER HAPO KATI KATI YETU HATUNAE TENA NA LEO NAMKUMBUKA KWA MAZURI ALWAYS ALONIONYESHA'KWA WALE MTACHUKIZWA POLENI SANA KILA MTU ANAVILE ANAVYOPENDA MTU NA ANAVYOPENDA KUMSEMEA KWA MAZURI AU MABAYA'HAPA DUNIANI KILA MMOJA ANA MBAYA WAKE NA MZURI WAKE'  NA KUHUSU PALE NILIPOANDIKA PETER KAFA SABABU YA MAPENZI ..SIYO KWAMBA NILISEMA NDO MAPENZI YAMEMUUWA ,AMEKUFA AKILILIA PENZI LAKE NA HAKI YAKE' NA MENGI SIWEZI KUYASEMA MAANA WAS IN MY INBOX NA SIM ZANGU MAZUNGUMZO NAE 'ALIPOKUWA ANAUMWA UGONJWA HAKUNIPIGIA SIM AKANIAMBIA ANAUMWA UGONJWA FULANI.ILA ALINIPIGIA SIM NA KUNIAMBIA ANAUMWA KWA UGONJWA WA MAPENZI 'MPENZI WAKE KAMDANGANYA WATAKWENDA KUFUNGA ARUSI  BACK IN TANZANIA WHICH FROM NO WHERE ANANIPIGIA SIM NIPO TANZANIA'FLORA MBONA HUKUNIAMBIA BEST YANGU  KUWA MWENZIO KAOLEWA ? I WAS LIKE ,OMG'POLE SANA I DONT KNOW ANYTHING ABOUT THAT  TENA MIMI NIPO ARUSHA ' OK ' WACHA NIJE ARUSHA TUONGEE 'NIKAMUAMBIA KESHO MIE NINASAFARI YA NAIROBI ALAFU NDEGE JIONI KURUDI LONDON' NDO TUKAANZA KUYAONGEA ALOKUWA ANATAKA KUJA KUNIFUATA ARUSHA 'NA SITOWAAMBIENI 'ILA HAYO NINA AKILI ZANGU NA SITOKAA NI MUAMBIE MTU ' IT WAS THEN 'KANI INBOX  MARA YA MWISHO  JUZI JUZI ' ANAUMWA BUT AGAIN MAZUNGMZO NI YALE YALE ANAUMWA MAPENZI 'JAMANI  NDO MAANA NASEMA MAPENZI YAMEMUUWA 'SO HEARTBROKEN ! ANWAY 'HIVYO NDIVYO NINAVYOMJUA MIMI NA MENGINE MOYONI MWANGU NA IN MY IBOX MAANA MPENZI WAKE HUYU ALINIBLOCK 'YANI NO ONE KUWA RAFIKI NAE IN FACEBOOK" UNAJIKUTA YOUR BLOCK UKIMUULIZA PETER 'MASIKINI HE WAS LIKE,SIYO MIMI FLORA MPENZI.'.YOU KNOW NI RAFIKI YAKO JESTINA" SO SAD'HOW YOU WANT KUMNYIMA MTU MARAFIKI ZAKE NA ULIMKUTA NAO" NA ISITOSHE UKAMUAHIDI KITU NA AKAJITOLEA KWAKO KWA VYOVYOTE ALAFU UJE  KUMUACHA VILE  TENA KISTUKIO' SIYO FRESH  NA KWASABABU ANANIJUA NA MIMI NILIKUWA KIDOGO KAMA YEYE NDO MAANA NAE ALIJISIKIA KUWA KARIBU SANA NA MIMI NA KUNIELEZEA SHIDA ZAKE 'AGAIN .NAWAPENI POLE SANA WALE WATOTO WAKE, NDUGU ZAKE NA MARAFIKI ZAKE WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA PETER 'NA KAMA KUNA NILOMKWAZA HAPA HASA FAMILIA YAKE PETER 'POLENI NISAMEHENI 'SIWAANDIKI NYIE,NA MUANDIKA PETER KWA UZURI WAKE ,WEMA WAKE NA NILIVYOKUWA NA MFAHAM HADI KIFO CHAKE JANA NILIPOPIGIWA SIM SAA SITA USIKU LONDON TIME.SIKUAMINI NILIKATAA KABISA KUAMINI 'HADI LEO HII PIA NAANDIKA BADO SIJAAMINI ..MUNGU AKUPOKEE SALAMA PETER LAZARUS 'UMETANGULIA TU,HII NI NJIA YA WENGI DUNIA NZIMA IPO NYUMA YAKO"
Flora Lyimo"

18 comments:

 1. Pole sana flora lyimo' your so caring mwenyewe' and what a good memory'

  ReplyDelete
  Replies
  1. May he rest in peace!

   Delete
 2. I love this post...thank you for the fascinating post…

  ReplyDelete
 3. dada flora poleni kwa msiba 'nilikuwa nakuchukia ila leo nimekupenda na sitokosa kuja kwenye hii blog yako ya ukweli mtupu,how come jestina so ignorant' at the end of the day Peter ni baba wa mtoto wake Iman for life''siku zote yeye huwa anatujazia habari za misiba ya watu kwenye blog yake wala isomhusu leo nothing?? 'but nyimbo za kwaya ..ambazo sasa kazitoa pia. shame on you' muke ya meru a.k.a. mama Iman"

  ReplyDelete
 4. Yani leo nimekudharau sana tena flora. Umeonesha wivu uliokua nao kwa jestina. Nadhani ilikuuma sana kuwa huyu alimpenda jestina na sio wewe. Kila mtu ana haki na kua na anayetaka kuwa nae na sio lazima jestina kubaki na peter kama alihisi anamlostisha au abaki nae kisa tu wamezaa pamoja. Jestina ni mke wa mtu hawezi kubandika bandika status za an ex lover facebook au kwenye blog ni heshima anayompa mume wake. Najua wewe huwezi kuelewa kuhusu ndoa na heshima za ndoa ila huhitaji kuonesha wivu wako. I bet hauto approve hii comment maana ukweli unauma.

  ReplyDelete
  Replies
  1. ACHA maneno yasiyo na maana, kama hakumpenda si angemwambia mpaka aende aolewe tu, mke wa mtu kwani nani kasema lazima amuoe, ni baba wa mtoto na atabaki kuwa baba wa mtoto wake, hata angeweka rest in peace, acha kutetea upumbavu.

   Delete
 5. Ndo maana anasingizia amebakwa, kama umempenda Lema wewe weka wazi mama

  ReplyDelete
 6. flora Lyimo unaonyesha una roho zuri sana jamani kweli uliwapenda sana hawa rafiki zako ambao mmoja Peter ndo marehem now''huyo jestina ni mbaya sana arikuharibia sana kwa watu na kukuchonganisha na best yako Jesicca na Lulu'all she is ever after is money oney and money only'na kuharibu ndoa za watu' wape ukweli wao flora usiwaogope kabisa na hizi picha hazina ubaya wowote mamii..umekumbuka goodtimes zako na marehem na alokuwa mpenzi wa marehem na kumzalia pia'jestina a.k.a mama Iman usiona umepata mme uwasahau wale walokuwa wanakusaidia kama Flora Lyimo' she was always there for you hasa ulipofiwa na dada yako .yeye Flora Lyimo ndo hata alikuja hadi kulala kwako kukupikia na kukufulia Ulaya' nihayo tu" love you Flora Lyimo'

  ReplyDelete
 7. Mna mambo nyie watanzania wenzangu, loh roho mbaya tu huyo jestina kasahau alipotoka na baba Iman? wangapi wanaolewa na wanapokuwa na tatizo na wazazi wenzao wanashirikiana? Huyo Jestina ni nyoko na Mungu amlaani. Na wewe Frola usimuogope mtu kaza buti my dada. Xoxo

  ReplyDelete
 8. KUANZIA SASA NAUNGA MKONO HII BLOG WA UKWELIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII FLORA LYIMO

  ReplyDelete
 9. Nani asiyejuwa kuwa FLFP anatafuta umaarufu kupitia kwa Jestina nani anamjuwa flora lyimo hapa london lakini akaona bora aweke picha za mke wa mtu ili apate kusomewa post zake huu ni mfano wa mtu anayetafuta umaarufu kwa bei yoyote ile. POLE SANA UTAFIKA TUUU

  ReplyDelete
 10. big up my shostitamu, achana na hao wapumbavu hawana mpango wowote, potezea fanya yako, mungu akutangulie mpenzi,yote roho mbaya inawasumbua tu. manina zao!!!

  ReplyDelete
 11. mmmmhhh hii blog nilikuwa siijui! baadaya kusoma comment toka kwa MANGE kIMAMBI kwamba nenda kwenye Hii blog for more details about PETER, basi ndio kuijua... THANKS FOR THAT COMMENT AND THANKS FOR YOU FL to put these pics.RIP Peter.sisi sote ni wa kufa. I WILL BE VISITING HERE ANYWAY.

  ReplyDelete
 12. Hi, thanx for the pics and info about peter.... we love him, i shared a part of my life with him at one moment in time 2003-2005, as a good friend. we talked everyday. i did not know why he died? how his life was like after so may years! MAY GOD REST HIS SOUL IN ERTENAL PEACE.

  ReplyDelete
 13. To be honest I don’t see any logic behind this, Peter is RIP, Jestina shame on you should have acknowledge the place of your baba Iman in your life with simple word “RIP Dear Peter” wouldn’t harm anyone. But because of your ignorance and pathetic excuses and keep up appearance to the bunch of Tanzanian who may highly rate you but personally I think both of you are craving for Celebrities Status Quo, Is it worth it …. Peter has died so soon he left behind two of you holding each other on the neck……Sad really! Very Sad indeed! May both of you find common grounds to grieve peaceful…. Just like some of us who have lost their loved one…. RIP Peter you will be missed by all..

  ReplyDelete
 14. Jestina:jamaa ulikuwa unalala nae na kuamka nae mpaka kuzalishwa mtoto.show us you care no matter wht.have a sense of human being.ndoa yenyewe ya mkeka wa kuchonga na kibushuti emolo.mashahid paka na panyaaibu tupu.RIP PETER.

  ReplyDelete
 15. OMG.. R.I.P he was so loving and caring

  ReplyDelete