KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 24 May 2013

BY:FLORA LYIMO ~PURPLE YOUR SELF 'JAMANI KUIGA NI BUREE' MBUTA NANGA''NA WACHENI KULALAMIKA LALAMIKA MNAPOMUONA FLORA LYIMO NA CAMERA!!

 
Purple haze: Jessica Chastain wowed in a stunning Givenchy Haute Couture by Riccardo Tisci beaded dress to the screening
Purple haze: Jessica Chastain wowed in a stunning Givenchy Haute Couture by Riccardo Tisci beaded dress to the screening"
Mwaona WAFYETUAJI HUKO NYUMA EEE''YANI USIONE MTU ANAKUPIGA PICHA UKAZANI NI KAZI NDOGO NA KUANZA KUMLALAMIKIA SITAKI PICHA SITAKI PICHA NA HUKU WATAKA
'
Flora Lyimo Fashion Police na Mtanzania alisi aipendae Nchi yake kupita maelezo na anae simama IMARA"
 
JUST FOR NYIE MSOAGA ,MLOSINYAA NA KULEGEA KAMA MILENDA ILOKOSA MAJI'AU MNACHUKI BINAUSI NA FLORA LYIMO'
a.k.a.Fashion Police top in town"
Yani Wa Tanzania wengine ni Ovyo kweli 'hivi kama hutaki kuonekana kwenye picha 'unakwenda kwenye shughuli za watu kufanya nini ? na unajikuta umejiweka mstari wa mbele au hata katikati na huku unaona wanapigwa Picha wanaohusu na kupenda picha zao zifyetuliwe'yani kuna siku hiyo mijitu nitaigonga na Camera badala ya kuwafyatua picha'iliwakome na kushika adabu zao maisha ni mafupi na siyo yakulalamika lalamika kwa kitu ambacho hukifanyi wewe na hata ukiambiwa ukifanye hutodhubutu''nyooooooooo"kweli hamtoniweza bora mjipange maana Mjini nipo kila upande mtakutana na mimi mpende msipende kwani nyie siyo Mungu na wala hamjaniumba sote tumeumbwa babu eee,Na popote nitakwenda na camera yangu na kwa kujitolea kwangu au kwa kikazi zaidi"
 'mbuta nanga!!
Violet vision: Jessica looked superb from all angles in her purple designer dress
Violet vision: Jessica looked superb from all angles in her purple designer dress
Violet vision: Jessica looked superb from all angles in her purple designer dress" And Flora Lyimo Fashion Police love it too"
Now on your way out of here don't forget to FOLLOW THIS BLOG"


No comments:

Post a Comment