KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 7 June 2013

BY:FLORA LYIMO~ HABARI HII TANGU NIIPOSTI TODAY 07/06/2013 IMESHASOMWA NA VISITORS 50.000' UWONGO UWONGO NA UKWELI UKWELI USIO KUWA NA MALONGO LONGO UNAPATIKANA HAPA KWA TOP IN TOWN TU'FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG'MBUTA NANGA' KASORO MBURULAS WA MAMBURULAS ' ILA ATAISOMA NAKUNIJAZIA IDADI VERY SOON!!KYINDOKYARUWA KYIMMBORYE MCHO""

 Flora Lyimo 'akiwa nnje ya Bank'on a very lovely jua day in London kuweka na kutuma Pesa Bongo..kuishi Mjini hasa miji mikuu ya Nchi ni kutembea na pochi nene na siyo nyembamba ''habari ndo hiyo" mtajikoroshoje sasa!!

 Karibuni jamani hizo herein ,vipuli vinauzwa nimeanza kuviuza now ila vitakuwa kwenye my New place in Dalston in London nitakalo fungua rasmi jumatatu ijayo"vyapatkana kwa jumla au reja reja' whatsapp +44 7787471024'
Flora Lyimo Fashion Designer /Trader /Blogger and Fashion Police CEO /Founder akiwa kazini leo ilikuwa siku ya kuhesabu pesa za mwezi uliopita kuweka bank na kutuma Tanzania''chezea Mchagga Ulaya ''jamani nawaambieni tena kuwakumbusheni msiacheni pesa yenu kwenye mabenki ya Majuu wekeni kidogo mukihitajicho zingine tuma home Jenga na kuwasaidia Ndugu na wasojiweza kwa uwezo utakao weza na Mungu atakusaidia hasa kukupa maisha marefu na kukuponya kukuepusha na mahatari yote ya Dunia hii'' Yani yule mburula wa mamburulas hakomi kuwadanganya wasokuwa na Mablog jamani anatia huruma kweli'' INAHUU kuweka idadi ya walosoma habari? zenyewe zilizosomwa zajitokeza kando ikiwa kaweka huo mvuto 'na vile vile unapojitokeza hauonyeshi Idadi '' sasa na mshangaa kupigia watu makelele na kuwaamsha na wengine wanapiga mahesabu ya pesa zao walizoingiza mwisho wa mwezi akiwemo Flora Lyimo Fashion Police a.k.a. Top in Town kuwakosesha mahesabu yao' na kwa taarifa yako kawadanganye mburula's wenzako na siyo Tops Bloggers kama mie hapa''kama umekosa kazi kalime babu eee" Anyway '' Don't forget to FOLLOW THIS BLOG"

1 comment:

  1. flora nimependa sana hizo hereni za blue niwekee please naja on monday .thanks and weldone kweli wewe ni mwanamke usie na mfano kwa Watanzania hasa waishio majuu..wajipange na kuhesabu matusi..hahaha''

    ReplyDelete