Khadija Kopa akiwa katika picha ya pamoja na marehemu mume wake Jafari Ali Yussuf enzi za uhai wake. May his soul R.I.P' |
Khadija Kopa akilia kwa uchungu mara baada ya kupata taarifa za mume wake kufariki. |
Uwii jamani hapa nalia pia Pole sana Kipenzi Mungu akupe Nguvu za Uvumilivu hasa kipindi hichi kigum (tena) kwenye Familia yako'kweli Kifo hakina huruma na kikiamua kimeamua. Pole sana mamii Mungu akutie Nguvu wewe pamoja na Familia yako yote'' Nakupenda sana Dada langu la Ukwee' |
Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kupanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda ''Hii ni baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa'Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana. (Picha na ofisi ya Makamu wa Rais) |
No comments:
Post a Comment