KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 12 July 2013

BY FLORA LYIMO~ HATARIII'' SIM ZAANZA KULIPUKIA WATU TENA ZILE ZA UKWEE SMARTPHONE BLEW UP NA KUMCHOMA MSICHANA VIBAYA''

 Msichana huyu akiwa ameshikilia Sim yake ya Smartphone ambayo ndo ilimlipukia na kumchoma Paja vibaya mno''
 Hii sim inasemekana ni ya Smartphone -Samsung Galaxy S3 allegedly blew up in her trouser' aliyokuwa amevaa na sim yake kukuwepo mfukoni mwa suruali yake"
Hapa ni Paja la huyu Msichana ambalo laonekana lilivyochomeka na yeye mwenyewe amesema kwamba alipokuwa anachomeka hakujua ila alinukiwa mnuso wa nyama ya Nguruwe ya kuchomwa'mbuta nanga'' ndipo baada ya kuendelea kusikia mchomo wa paja lake mwenyewe akaamua kutizama mfukoni na kukuta simu ndo ipo hivyo kama inavyo onekana na yeye mwenyewe keshachomeka kama mnavyo muona hapa''
Yani mimi namuonea huruma japo sijui Ukweli upo wapi na nini hasa kilichoisababisha hiyo simu tena smartphone kumlipukia hadi kumchoma hivyo na wala asisikie kile kimchomo kidogo hadi kiwe kikubwa hivi ? Yani I wish her all the best and I hope pia hiyo sim ni ya Galaxy S3 kweli na pia anaushaidi wa yeye kuinunua kwa Uhalali yani hajanunua kwenye wachokora sim'' and isitoshe hii inaelekea kubaya sana kwa hii kampuni kwani Mimi mwenyewe naogopaje,, I have the new one S4 but inashikaga moto kweli hadi naizima kidogo but huwa nadhani nikwasababu yangu mimi kukuwepo on it for a long time' au nisema kuitumia kwa masaa mengi maana siiwekagi chini kwasababu ya Biashara zangu yani kila kitu now days naitumia which is the best phone ever ''but also inanizingua kwenye WhatsApp ''inanionyesha mtu yupo on line alafu mtu mwenyewe hawezi kunitumia chat zake on time ?and also inanionyesha kwamba mtu alikuwepo on WhatsApp jana na wakati mtu mwenyewe yupo on line na na chat nae'' so thats only things I dont like about it at the momment'' and Also I dont put my Phone kwenye mfuko wa nguo anymore tangu yule Pumbavu mwizi wa mifukoni aliponiibia kwenye Basi wakati nimeketi nae kiti kimoja'' 
So my dears''tuwe waangalifu na hizi sim ,ukiona zimekuwa na Moto sana chunguza zima ili zipoe kidogo kwani sidhani kama zinatakiwa uwe kwenye hizo simu kuzifanyia  mambo mazito kwa muda mrefu''

No comments:

Post a Comment