KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday 1 July 2013

BY FLORA LYIMO~ MCHAGGA LEO NIMEPATIKANAJE ''MBUTA NANGA!!!

 Flora Lyimo Lunch of 01/07/2013 in Hackney London'''
Mbuta Nanga'jamani hapa hii ni lamb chops yani vimbavu vitatu vikavuu na wali ambao haueleweki kabisa liwali linene na kama halijaiva vile na wala sijalionja'' then kwa vile nilikuwa nanjaa sikutizama menu yao niliagiza tu' wacha Mtoto wa Kichagga nimalize vimbavu hivyo na kutaka bili yangu nilipe'Uwiii niliona hiyo £13.50 lamb chops nikadhani wamenipa bili ya mwengine 'kuuliza nikaambiwa hiyo ndo bei na tena mpaka na kwenye menu ni kweli hiyo ndo bei yake'' walahi tena huu ni wizi mtupu,tena mchana mchana kweupee'' hatupo Posh place hapa tupo mitaa ya kawaida '' ama kweli vitu vingine ni vyakutizama kabla huja amua hasa misosi maana ningetizama ningeenda pengine kula Chakula cha maana zaidi cha kuendana na hiyo £13.50 for that mbavu tatu kavu kavu'' hata guu nzima la mbuzi Dalston Market ningepata '' Hahahaa hawataniona hapo tena nikila mbavu tatu za kondoo kwa kwa hiyo bei 'Pesa zimeadimika Ulaya na Watu wamekatiwa pesa zao za Bure sasa hata kuuza bidhaa zetu tunauza kwa kuhesabu wateja na mpaka anunue basi ashakuomba umpunuzie kinoma 'hadi anataka bure kabisaa Ruwa Mangi ''

No comments:

Post a Comment