KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 9 August 2013

BY: FLORA LYIMO~ BREAKING NEWS " MAJANGA MENGINE MAKUBWA YATOKEA ASIA ' MWANAMKE MUINGEREZA AKUTWA UCHI AKIWA AMEFARIKI IN VIETNAMESE HOTEL ROOM'

 Julia Anne Jay 43 (pichani ) British Fortune teller who has been wondering Asia for decodes' Police wa  HO CHI Minh 'Wamesema kwamba atakuwa amekufa kwa muda wa siku nyingi ' kwani hata hivyo wamegundua kafariki baada ya Wajeni wengine waliokuwa wanakaa kwenye Hotel moja nae kulalamika kusikia Harufu mbaya ikiwa inatokea Chumbani mwake''
 Hapa ni Mjini ambapo ndipo Mambo yote''yani hapa ni chachaaa'Picha inasema yote''
Hivi ndivyo Vietnamese People wabebavyo Bidhaa zao wakiziuza kwa kutembeza mijini ''yani Biashara haitofautiani na ya kwetu kule Tanzania'tuseme sisi tunabeba Kichwani ''  Dunia kweli imeumbwa ikaumbika'' na tembea ukajionee ya Dunia''

1 comment:

  1. hahaha wanabeba kama wagogo wakiwa wanatembeza biasahara zao kama, mkaa, nyanya, kuni hata maji wanabeba hivyo. mwa3

    ReplyDelete