KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 30 August 2013

BY :FLORA LYIMO ~ INTERESTING'' TUYAPENDE YAKWETU NA SIYO KUWATEGEMEA WAGENI TU'' TEDDY KAEGELE OF TEDDY KAEGELE'S BLOG''FAMILILY VACATION 'KITALII ZAIDI''

 Hahhahaaa'Bless Her ''Mtoto anayaogopa Maji ya Water Falls'' nani anapenda kuzama na maji'''
 Teddy na Watoto wake must be Love''' Ukipenda Watoto na Utabarikiwa Mara Mia Sabini''
 Happy People'' kwa Raha zenu my dear'''Hongereni sana kuonyesha na sisi tunaweza Utalii Nyumbani kwetu pia''
 The Next Fashion Police ''mwamuona eee''Chezea Yeye kwa mapozi ''The DIVAAAAA!!

 Wakiwa kwenye Maji na Mtoto aliekuwa analia kwa kuyaogopa maji katuliaje sasa''
Anyway 'Walitembelea ,Rukwa-Utalii wa ndani Lake Tanganyika ,Kasanga and Kalambo Falls''
 Picha ya Pamoja ''hakuna kama kumbukumbu my dears''


Habari ndo hiyo''jamani tujifunzeni ya Teddy hapa''kujitalisha kinyumbani kwetu pia''kwani hiyo ni njia ya Maendeleo na kujionea vile vile kuwafundisha Watoto wetu Vitu tulivyonavyo Nnchini kwetu'' Unaweza kumtembelea Da'' Teddy Kaegele kwenye Blog yake kwa Vijimapochopocho zaidi''
www.teddykaegeleblog

No comments:

Post a Comment