FLORA LYIMO MTANZANIA HALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO'' |
Lakini Kama Mwanamke /Dema ni Rafiki yako hapo ndo Moto zaidi '' yani Haponi Mtu aisee'' Mbuta Nanga' Kweli Wote Hao sasa watakuwa siyo Binadam wenye Roho za Ubinadam'' Huwezi kumuowa Mme wa Rafiki yako jamani 'na huku ndo katoka kumzalia tena kwa Shida hivi utadhubutu na wewe kumzalia huyo Mwanaume?'Ogopeni Mungu maana mnaweza mkalaaniwa na kuzaa vitu vya ajabu''' Ni aibu na Utalaaniwa Milele'' Hutokaa uwe na Furaha Maishani'' Mungu aniepushie nisije kukutana na Mwanamme wa Rafiki yangu Yani haiwezekani kabisRuwa Mangi''
Hahahahaa ndo akome kulea Ving'asti'ambao ni vijana wa kiume wanao penda kulelewa na wanawake wenye pesa . Huyo Maryam alimweka ndani huyo jamaa na kuwa ana mhonga pesa , sasa ikala kwake kwani ving'asti huwa hawana reputation ya kutulia , wasanii karibu wote wa kiume wa Bongo flava. Ni ving'asti hahahhahahah''
ReplyDeleteNa wewe Flora siulishadanganywa na yule mme wa fifie ''Peter..ila tumekupenda ulimtupa kule yani flora sijawahi kukuheshim kama nilivyokuona umeachana na lile zugu''litaira limeshafanywa taira na yule kilema wake yani mwanamke yule pia ni mchawi hatari no way hata ungemzalia...lets put it that way''you are my number one Tanzanin lady INSPIRE ME'' YOU ARE MY INSPIRATION ''keep do your thing'mme wako Mungu alokupangia utampata tu''Thanks for this post by the way 'also I love your BLOG''
ReplyDeleteHuyo nae mwanaume au mwanaume suruali???!!! Halafu ninawashangaa sana hivi vishanshuda vinavyopiga kelele kutwa kwenye blog za watu oh flani kamwiba mume wa flani, hivi hao wanaoibwa ni misukule au watu na akili zao tena kwa taarifa yenu hao wanaojiita waume za watu wakianza kutongoza anakwambia nilikuwa na mke ila tumeeacha pete zinavuliwa vidoleni basi tafrani. Mimi nikimkuta mtu na mume wangu wala sijishughulishi kuongea nae hilo janadume ndio nitadili nalo maana angetulia wala huyo mwanamke asingemuona. Ila mijanadume ya Tz imefanya fashion kuwa na nyumba ndogo ndio kuonekana wewe rijali haswa, bora waislam wamewarahisishia wake 4. Nayo pia haitoshi unalikuta jibaba linawake 4 ila bado anatongoza wengine,jamani dunia imekwisha ni majanga tu. Tusubiri tu kutumia dawa za kuongeza maisha maana mtandao umekuwa haswa.
ReplyDelete