KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday 3 August 2013

BY FLORA LYIMO ~ MASANJA MKANDAMIZAJI NA SHILOLE WALIPOTEMBELEA NEW YORK CITY''KUMBE KUNA KINACHOMSHINDA MASANJA MKANDAMIZAJI PIA''MBUTA NANGA!


Msanii Shilole akipata kitu inaitwa Mbwa wa moto “Hot Dog” wakati alipokuwa New York City akisubiri boti kuelekea kuliko statue of Liberty akiwa ameambatana na msanii mwenzake Masanja (hayupo pichani) Jumanne July 9, 2013,yani hapa chezea kitu cha kuwekwa katikati Bwana kitamuje''Mbuta Nanga'kula upate Nguvu yakuimba na Jenifa leopoz'' yani I can't wait nakuombeaje Mpora wetu '' wale walosema hutoweza kufanikisha yako wao siyo Mungu na pia Riziki hazitoki mikononi mwao'ona hapa una kula Mbwa wa moto a.k.a Hot Dog on mkate wa skonji 'Majuu''wao umewaacha wapi tena''na wanakula nini tena ''Chips za Vumbi Bongo''Ruwa Mangi''
Kutoka kushoto ni Ebra NY, Libe, Masanja na Shilole wakiangalia Statue of Liberty kwenye mto wa Hudson unaotenganisha New Jersey na New York.
Libe, Masanja na Shilole wakinyanyua mikono yao juu kwa mfano wa Statue of Liberty.Na hapa ndo mnaweza kuona kwamba Masanja na mwenzake walishindwa na Shilole kwa kunyanyua mkono juu moja kwa moja na siyo unakunjika wanawanne'' Mbuta Nanga'' hahhaaa'' Hongera Shilole umewashindaaa""
Ebra Vijimambo vya NY (kushoto) akiwa na wageni wake Libe, Shilole na Masanja wakati alipokua akiwadhurulisha New York City Jumanne July 9, 2013.
Masanja akipata picha nje ya mahali panapoumiwa kupandia boti kwa wasafili wanaoelekea kwenye astatue of Liberty.
Masanja akipata picha kwenye gari la Polisi wa New York.
Shilole asking the Little Boy ''Hi Little Boy kati yetu watatu unachagua nini? The Boy went for Farasi'' Mbuta Nanga'' Hapa wakipiga picha na Polisi kikosi cha farasi Manhattan New York
.

1 comment:

  1. Mkubwa mwenzangu naona unakoelekea siko au na wewe umeamua blog yako iwe ya mipasho? Kila mtu anamtazo wake na hata walioandika sidhani kama wanamchukia shilole ila ukweli ndio huo kuimba na Jlo bado sana. Watz tupendane pia kwa kuambiana ukweli sio kuvalishana vilemba vya ukoka. Hata wewe Florah kwenye moyo wako unajua kabisa kwamba huyo bint kuimba na Jlo bado sana. Hakuna kinachoshindikina chini ya jua ila kuna vingine unaona kabisa ni sawa na kusema uchumi wa Tz utakuwa kama wa marekani. Tumpe moyo ila tumshauri pia akaze buti sio tu kumpamba.

    ReplyDelete