HAPA NI SHILOLE NA KATI YA WIMBO WAKE WA JUZI JUZI ''RECENTLY SONG PAMOJA NA KUINGIA MJINI RECENTY JUZI JUZI KAMA SINTAH ALIVYO PICHULIWA NAE PICHUU''HAHHAA'' JAMANI MIMI NAOMBA SHILOLE UKAIMBE HUU WIMBO NA J-LO'' NA MIMI NITAKUJA TENA NA KANGA HASWAA NITAVUNJAJE MAUNO SIKU HIYOO''JAMANI WATU TUPO NA NYOTA ZETU TUKIENDA SAMBAMBA NAZO''YANI ZIKIELEKEA MAJUU NAWE NAZO ''ZIKIZUNGUKA DUNIA NZIMA NAWEWE WAZUNGUKA NAZO ''' HAYAAA WEEE''WALIOKO JUU YA MEZA MSISAHAU CHINI KUNA PAKAA EEE''''WARUSHIENI HATA KANYAMA BASI''WASIJETUTILIA MANUKSI BUREE KWENYE BIASHARA ZETU JAMANI NA HATA MAISHA YETU KUGOMA KWENDA TUNAKOTAKA KWENDA''''MBUTA NANGA!!
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Tuesday, 3 September 2013
BY :FLORA LYIMO~ SINTAH ''Vs'' SHILOLE ~AND HERE IS WHAT YOUR FLORA LYIMO FASHION POLICE HAVE TO SAY'' SINTAH WACHA KUMTILIA MWENZIO NUKSI ''WATU KAMA WEWE NDIO WANAWANYIMA WATANZANIA WASIENDELE' NA KUMBUKA RIDHIKI HAITOKI MIKONONI MWAKO WALA KWA BINADAM YOYOTE'' SHILOLE HEBU KATUIMBIEE PAKA LA BAA NA J-LO NDANI YA MAREKANI TENA NA MIMI NITAKUJA KUVUNJAJE MAUNO'' MBUTA NANGA''ANYWAY WASIKIZE HAPA THEN HAVE YOUR SAY'' TAKE ONE 30/July/2013 part 1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Flora Lyimo namba moja top Tanzania Fashion police' kula tano Dada''yani maukwe yako ni komesha ya mujini haswaaa''' nuksi kweli we Sintah ''kaogeeeeeeeeeeeeeeeee ten na magadi tupishe sie''
ReplyDeleteKweli mkubwa mwenzangu uko busy. Hiyo habari mpaka ilishasahaulika kwenye ulimwebgu wa habari. Simjui Sintah wala simjui Shilole wote nawasikia tu kupitia vyombo vya habari kwahiyo siko hapa kumtetea yoyote kati yao ila niko kutoa maoni yangu binafsi.
ReplyDeleteFlora unapokuwa na ndoto za kufanya mambo makubwa sio wote watakuunga mkono kuna watakaokukatisha tamaa lakini haimaanishi kuwa wanakuwekea nuksi,tena yawezekana ndio wakakupa morari wa kufanya vizuri zaidi. Kila mtu anamaono yake na kila mtu anahaki ya kusema kile anachokifikiria, sio Sintah peke yake aliyesema hivyo wako wengi tena ni maarufu kiliko hata Sintah. Kumsema Sintah kuwa anamuwekea Shilole nuksi sioni kwamba ni sahihi kwani yale yalikuwa ni mawazo yake,sasa kazi ni kwa Shilole aoneshe kwa vitendo kuwa wale wote waliomuona hawezi mbona kaweza.
Napenda blog yako, napenda style yako niko UK ila sio London nikija London nitakutafuta just to say hi.
duh naona nawe umeingia kwenye mipasho, wewe ni biashara acha kujishushia hadhi. tunakuheshimu sana
ReplyDeleteFlora u are number one kwa mipasho pia kumbe upo na mapoints ya ukwee,ila kuwa busy tafuta pesa mamii wachana na hawa watilia wenzao nuksi ''i like that say from you 'ni kweli kabisa hata wale wenzake wote walosema hataweza wana mawivu na wanamtilia nuksi'' big up our fashion police'we love you upo juuuu'''team mbuta nanga"
ReplyDelete