KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 29 September 2013

BY :FLORA LYIMO~LULU AFUNGUKA YA MOYONI KWENYE SIMINA YA FURSA JANA JIJINI MWANZA.'FLORA LYIMO FASHION POLICE : SAY'' HONGERA SANA LULU 'VAAZI ON POINT'


UMEONGEA VIZURI SANA NA UMESIKIKA MDOGO WETU'' YANI HAYO YOTE YANAITWA ''TALENTED''' KILA MTU ANAPOZALIWA ANAKUWA KAZALIWA NA KIPAJI CHAKE'' NA MARA NYINGI VIPAJI HIVYO HUANZIA KWETU TUKIWA WADOGO''LAKINI WENGI TUNAKOSA KUGUNDUA AU KUGUNDULIWA MAPEMA  VILE VILE TUNAPOTEZA VIPAJI HIVYO KWA KUKOSA SUPPORT MAPEMA NIKIIMANISHA PIA KWA KUKOSA UWEZO'' NA HAPO HAPO HUSABABISHA WENGI WETU KUJAKUJISTUKIA UKUBWANI NA KUANZA KUJIULIZA HIVI NI KWANINI SIKUFANYA HIVI TANGU MIAKA FULANI? LAKINI UKWELI UNAKUWA NI KWASABABU YA KUKOSA UWEZO NA VILE VILE SUPPORT 'HASA PROMOTERS ''  HEBU ANGALIA VIJANA WETU KWENYE MICHEZO YA MIPIRA'HASA MAJUU 'UMEONA MCHEZAJI WA TANZANIA ? NA KAMA YUPO BASI PENGINE WAKUHESABU WATATU BAHATI' MIMI NAMJUA MMOJA TU''' SI WAPO WENGI KIBAO ''LAKINI WAZAZI WAO AU PIA KWASABABU YAKUKOSA SUPPORT 'PROMOTERS'' WANAJIKUTA WAKIISHIA KUIBA,WEZI ,MAJAMBAZI NA HATA WASUKUMA MIKOKOTENI'' YANI LULU '' LIZY MDOGO WANGU UMENIGUSA NA HONGERA SANA ''

No comments:

Post a Comment